ndiyo tunakushangaa nani kakuruhusuVichaa wameanza lini kuruhusiwa kuandika Hapa JF?
ndiyo tunakushangaa nani kakuruhusuVichaa wameanza lini kuruhusiwa kuandika Hapa JF?
Tuendelee kuwashauriMziki watauelewa tu na watacheza kelele zitawaisha!!! Chedema na Simba awana tofaut atuchezi atuchezi mwisho wataingia GETO uku wanatabamu!!!!!!
Kabisa,huyu Erythrocyte si amekimbia mirembe huyu?ndiyo tunakushangaa nani kakuruhusu
Sasa mbona unaleta hoja za kichoko sasa hivi?Dogo nimeanza kutumia jf enzi za jambo,nikiwa napiga hoja na akina Prof.mkumbo,Kigwa,kichuguu,nk
Hii Post ingependeza kama ungeipeleka msikitini kwako itangazwe huko kusikokuwa na makafir, humu si mahali pake.Asalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee Lissu amonekana dhahiri akihamasisha fujo ili aweze kujipatia madaraka ya juu ya nchi Mzee Lissu ameamua kuificha familia Marekani na yeye kuendelea kuharibu nchi yetu.
Sasa baada ya kuona huruma ya KiMungu,Askofu ambaye ni mfuasi wao amewaombea huruma ili angalau Heche aende bungeni mwakani.
Kwa ushauri wa Gwajima ndani ya CHADEMA kunafukuta,huku wengine wakitaka kushiriki wengine wakisema bora wasishiriki wataishi kwa proposal za wazungu,Lissu hana shida kabisa na hivi karibuni akitoka ataenda kugombea ubunge Kwao na urais kuuza kwa Mtu toka CCM.
Lakini kwa uamuzi huu CHADEMA itakuwa imesalimu kishujaa,tutawasifu na kushindana nao.
Ahsanteni.
Usikute ni Makalla huyo, maana hao walisha jivua 🧠 mapemaaa!Joined Today
Wewe mtu wa ajabu,kupewa salamu ni ubaguzi,nyumbu mna uelewa mdogoHii Post ingependeza kama ungeipeleka msikitini kwako itangazwe huko kusikokuwa na makafir, humu si mahali pake.
Huna akiliUsikute ni Makalla huyo, maana hao walisha jivua 🧠 mapemaaa!
Ulitaka zije mda gani?Sasa mbona unaleta hoja za kichoko sasa hivi?
Unaweza thibitisha?mbona nyumbu mna ujinga mwingiKuna mtu kaunda kikosi kazi kabisa cha kuzima upinzani kupitia mitandao na akakuteua na wewe kwenye hicho kikosi.
Hii CCM imekuaje?
Usizilete kabisa achana na hoja za kichokoUlitaka zije mda gani?
"Asalam aleykum waislamu wenzangu".Wewe mtu wa ajabu,kupewa salamu ni ubaguzi,nyumbu mna uelewa mdogo
***** ni makalio yako anayoyamiliki lemaUsizilete kabisa achana na hoja za kichoko
Ndio"Asalam aleykum waislamu wenzangu".