Asalam aleykum waislamu wenzangu.
Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji.
Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani.
Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee Lissu amonekana dhahiri akihamasisha fujo ili aweze kujipatia madaraka ya juu ya nchi Mzee Lissu ameamua kuificha familia Marekani na yeye kuendelea kuharibu nchi yetu.
Sasa baada ya kuona huruma ya KiMungu,Askofu ambaye ni mfuasi wao amewaombea huruma ili angalau Heche aende bungeni mwakani.
Kwa ushauri wa Gwajima ndani ya CHADEMA kunafukuta,huku wengine wakitaka kushiriki wengine wakisema bora wasishiriki wataishi kwa proposal za wazungu,Lissu hana shida kabisa na hivi karibuni akitoka ataenda kugombea ubunge Kwao na urais kuuza kwa Mtu toka CCM.
Lakini kwa uamuzi huu CHADEMA itakuwa imesalimu kishujaa,tutawasifu na kushindana nao.
Ahsanteni.