Chadema kusalimu Amri;Kuingia kwenye uchaguzi kupoza njaa,Gwajima awatetea

Pia ni maoni ya wengi wanaoitakia nchi kheri CHADEMA iingie tu kwenye uchaguzi mkuu hata bila reforms. wakora wa kura tayari wanajulikana hata wakiiba kura dhamiri zao zinawahukumu. Lissu aachiwe toka mahabusu aje ashiriki uchaguzi nchi itulie
 
Nani kakwambia nchi haijatulia?bonimayai au?
 
Kwahiyo hapa buku 7 tayari!? Nadhani wanaowalipa watakuwa na matatizo ya akili

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
mavi uharo thread
 
Ujumbe huu si wa kawaida, yaani sasa uchaguzi huu ni kuhimiza waIslamu wenzako wakapige kura, yaani Sasa CCM imekuwa Waislam Vs Lissu? Uandishi kama huu kweli unatia kinyaa
 
Wapinzani mtatiki tu tarehe 25 October kwani mlisajili chama mkitumie kuombea ukimbizi kwa WAZUNGU¿¿¿¿
 
Ujumbe huu si wa kawaida, yaani sasa uchaguzi huu ni kuhimiza waIslamu wenzako wakapige kura, yaani Sasa CCM imekuwa Waislam Vs Lissu? Uandishi kama huu kweli unatia kinyaa
Kinyaa? Tunaiponya nchi kutoka kwa upotoshaji wa matapeli ya chadomo nyumbu
 
Chadema wameingizwa chaka na lissu,wanalia chinichini
Mziki watauelewa tu na watacheza kelele zitawaisha!!! Chedema na Simba awana tofaut atuchezi atuchezi mwisho wataingia GETO uku wanatabasamu!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…