GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanakuumizaje ilhali una nafasi ya kuwapigia waliopo?.
NRNE!!!!
 
Refer 2020 general election,
Ndio maana kuandika mpya sio mwisho wa matatizo yetu maana weledi, tabia na utashi wa kiongozi ndio utakaotuvusha. Marekani wana Katiba nzuri lakini bado wanalalamika kuibiana kura pia, na elion musk kugundua upigaji serikalini
 
Back
Top Bottom