kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #161
Wananchi Hawa sio wajinga wa kiasi hicho. Nchi yao imejaa wakimbizi kutoka mataifa mengine yanayowazunguuka, wanaifahamu sababu ya wakimbizi hao kuja kwetu. Kwenye maendeleo wanajua tuko hatua gani na nchi nyingine zinazotuzunguuka ziko hatua gani. Mfano, ni nchi ngapi Afrika Zina SGR, DART, hospitali/zahanati nyingi, umeme Kila Kijiji, shule nyingi Kila kijiji, maji Kila Kijiji, kuzalisha chakula Chao wenyewe, chanjo kwa Kila mtoto, mifugo mingi, ligi yao inaonyeshwa mechi zote, Zina timu nne zinashiriki CAF, nk. Anaekwambia kuwa Tanzania hakujafanyika kitu si anakwambia upumbavu?Kwanza jifunze kutofautisha mazingira. Pili kujaribu kitu kile kile na ukawa unapata matokeo yale yale tena kwa maumivu na mateso makali kutoka kwa watu wale wale waliopo kwenye mifumo ile ile ni kujiondosha ufahamu!
Tatu, wananchi walishasusa chaguzi kabla hata ya CDM! ccm wanatambua hilo ndo maana wanakwambia Oktoba Wanatiki!
Kuna Dola liko mbioni kuimarishwa! Lisije tu likawa la kimalkia au kidikteta!
View attachment 3392115
Kaka nikwambie kitu, hata Hawa akina Mnyika, Heche na wengine wanacheza ngoma wasiyoijua. Wenye shughuli hii ya no reforms no election ni Lissu, Lema na Maria. Ndio maana wenye akili wamejitoa na kukaa mbali nao. Vurugu nchini Zina faida kwa Lema, Lissu na Maria maana wanapata mafao ya kuwa wakimbizi huko ng'ambo. Vijana amkeni amkeni amkeni, mmesikia wapi chama fulani kimezuia uchaguzi wa nchi yao usifanyike bila kutokea majeruhi na vifo vingi? Hayo majeruhi na vifo vitakavyotokea kwenye no reforms no election ndiyo biadhaa yao hawa watu.