Makao makuu ya nchi na serikali yapo Dodoma kwa sasa, ni kwannii Chadema mnakuwa wagumu kutekeleza hilo suala la kuhamishia HQs zenu Dodoma ?
Chadema itaendelea kuweka makao yake makuu Dar na hakuna sheria yoyote inayowazuiaWwe umeipata wapi hii ya makao makuu na nchi kuwa Dodoma? Tafadhali weka reference!.
Wahamie Dodoma yaliko makao makuu ya Serikali kwani CHADEMA ndiyo serikali? Mbona mna loose sana?
Umeandika vema.Vikao vinaanza leoSikuwahi kusikia kwamba wamechuja wagombea wale saba waliorudisha fomu, kama unaushahidi Wa wagombea waliochujwa weka hapa mkuu
Hebu tuandikie wewe tuoneKama ni chakula basi umezidisha chumvi hata kukila imekuwa shida. Chadema tengenezeni timu nzuri ya kuhabarisha Umma shughuli za kichama kwa weledi na uhalisia, hii taarifa imejaa propaganda ambazo zinafanya Chadema ionekane kama kikundi Cha Wajanja flani au wahuni fulani hivi
Twendeni na Billionaire Nyalandu.View attachment 1524612
Natambua uwepo wa wajumbe mbalimbali wa mkutano Mkuu wa Chadema ( wakiwemo waliotoka Kyela ) wakiwa tayari kwa kazi maalum ya uteuzi wa Jina moja tu la Mgombea urais atakayewakilisha Chama chao na ambaye anatajwa kushinda Urais wa nchi hasa baada ya mtandao mnene wa Chadema nchi nzima .
Je unadhani ni nani atapewa nafasi hiyo kati ya Wagombea waliojitokeza ?
Wewe sio sisi..nyie mtaenda na MaguTwendeni na Billionaire Nyalandu.
Nyalandu hoyeeee!View attachment 1524612
Natambua uwepo wa wajumbe mbalimbali wa mkutano Mkuu wa Chadema ( wakiwemo waliotoka Kyela ) wakiwa tayari kwa kazi maalum ya uteuzi wa Jina moja tu la Mgombea urais atakayewakilisha Chama chao na ambaye anatajwa kushinda Urais wa nchi hasa baada ya mtandao mnene wa Chadema nchi nzima .
Je unadhani ni nani atapewa nafasi hiyo kati ya Wagombea waliojitokeza ?
If only wishes were horsesNyalandu hoyeeee!
Mkuu upo sahihi lakini kauli ya msimamizi wa uchaguzi imenipa mashaka,Lissu anaweza leta mtetemo kwa ujasiri wake.Nyalandu nina mashaka nae yupo neutral.
Mungu yupi!! Au chadema mna Mungu wenu!!Mwenye macho haambiwi Tazama.Chadema ni mpango wa Mungu
Kuwa mgombea mwenza.Dr Rosemary atawashangaza wengi!
Ni kweli labda Mungu wetu ni tofauti na wenu.Maana Mungu wetu sisi ni YehovaMungu yupi!! Au chadema mna Mungu wenu!!
Fear of UnknownMkuu upo sahihi lakini kauli ya msimamizi wa uchaguzi imenipa mashaka,
Watapata njia rahisi yakumkata mgombea kama akisimama Lissu hawatakosa sababu.Nadhani asimame Nyalandu huku sote pamoja na Lissu tukimpa support ndugu Nyalandu
Kujifariji nini sasa? Mliahidi kukiua chama kabla ya uchaguzi mkashindwa, bado hata vikao vyao vinawavuruga akili?Endeleeni kujifariji
Woa wamejitengenezea mungu wao anayegawa fedha barabarani!Ni kweli labda Mungu wetu ni tofauti na wenu.Maana Mungu wetu sisi ni Yehova
Hujui lolote wewe! Eti za awali kambwaga Lissu...hujui tulia!h
apo anapita nyalandu hivi unamjua mbowe wewe>? za awali tu kambwaga lissu vibaya unategemea nini ?