Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Makao makuu ya nchi na serikali yapo Dodoma kwa sasa, ni kwannii Chadema mnakuwa wagumu kutekeleza hilo suala la kuhamishia HQs zenu Dodoma ?

Wwe umeipata wapi hii ya makao makuu na nchi kuwa Dodoma? Tafadhali weka reference!.

Wahamie Dodoma yaliko makao makuu ya Serikali kwani CHADEMA ndiyo serikali? Mbona mna loose sana?
 
Chadema itaendelea kuweka makao yake makuu Dar na hakuna sheria yoyote inayowazuia
 
Kama ni chakula basi umezidisha chumvi hata kukila imekuwa shida. Chadema tengenezeni timu nzuri ya kuhabarisha Umma shughuli za kichama kwa weledi na uhalisia, hii taarifa imejaa propaganda ambazo zinafanya Chadema ionekane kama kikundi Cha Wajanja flani au wahuni fulani hivi
Hebu tuandikie wewe tuone
 
Mgombea urais Chadema ni nani_ ( 733 X 640 ).jpg

Natambua uwepo wa wajumbe mbalimbali wa mkutano Mkuu wa Chadema ( wakiwemo waliotoka Kyela ) wakiwa tayari kwa kazi maalum ya uteuzi wa Jina moja tu la Mgombea urais atakayewakilisha Chama chao na ambaye anatajwa kushinda Urais wa nchi hasa baada ya mtandao mnene wa Chadema nchi nzima .

Je unadhani ni nani atapewa nafasi hiyo kati ya Wagombea waliojitokeza ?
 
View attachment 1524612

Twendeni na Billionaire Nyalandu.
 
Nyalandu hoyeeee!
 
Lissu anaweza leta mtetemo kwa ujasiri wake.Nyalandu nina mashaka nae yupo neutral.
 
Mkuu upo sahihi lakini kauli ya msimamizi wa uchaguzi imenipa mashaka,
Watapata njia rahisi yakumkata mgombea kama akisimama Lissu hawatakosa sababu.Nadhani asimame Nyalandu huku sote pamoja na Lissu tukimpa support ndugu Nyalandu
 
Fear of Unknown
 
Back
Top Bottom