Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Mwenye macho haambiwi Tazama.Endekea kufunika kichwa kwenye gunia huku mwili wote ukiwa nje
 
mbuttu
 
Tunaamini wajumbe wa mkutano mkuu watafanya maamuzi yao kwa busara na weledi mkubwa.Jumanne siyo mbali
 
Chadema ndiyo mpango wa Mungu na si majina ya watu.Chama ndiyo mpango wa Mungu kwa hiyo yeyote anayesimama na chama anafanikiwa
Tukutane hapa Novemba mwanzoni utoe mrejesho.
 
Mwenye macho haambiwi Tazama.Endekea kufunika kichwa kwenye gunia huku mwili wote ukiwa nje
yaani huwaga namshangaaa sana mtu kama wewe unshabikia kitu kisichowezekana hivi kuwa mkweli unategemea kweli chadema washinde u RAIS ? au unaigizia tu nikuache nisikushangae maana unaonekana kama kioja kweli
 
yaani huwaga namshangaaa sana mtu kama wewe unshabikia kitu kisichowezekana hivi kuwa mkweli unategemea kweli chadema washinde u RAIS ? au unaigizia tu nikuache nisikushangae maana unaonekana kama kioja kweli
Acha blah Blah wewe..Kwa akili yako unadhani unaweza kufikiri zaidi ya Mungu aliyetuumba
 
Lissu atahudhuria kweli? Maana yuko karantini kwa mujibu wa PETER KIBATALA, sasa asipokuwepo atapitishwa vipi kugombea Urais, mahakamani alishindwa kutokea sababu yuko karantini
 
Asante kwa habari ya kusisimua sana na sasa siasa zinakaribia kuanza tena watanzania tujiandae kwa kishindo kikubwa. Kuna watu hawalali sasa mnawajua, eeh?
Endeleeni kujifariji
Mwenye macho haambiwi Tazama.Chadema ni mpango wa Mungu
Asante sana Molemo tupo pamoja tunawaletea Mgombea Urais wa Maono ya Watanzania
Kila la kheri makamanda.
People's........ Power......
FaizaFoxy sijamsoma siku nyingi, tangu Coronavirus ilipoingia rasmi kwenye mapapai, mafenesi, mbuzi, kondooo, kware na kuku Tanzania 🇹🇿
T 2020 TAL
Lazima maccm watafutane...
Mungu awatangulie Chadema. Sasa ni wakati wenu wa kuithibitishia Tanzania, watanzania na dunia kwa ujumla kuwa nyie ni Chama Bora kwa sasa hapa Tanzania.

Nawatakia Heri kwenye vikao vyenu!
Hizo ndo habali watanzania hasa wapenda demokrasia haki na utawala bora ndo huwa wanapenda kuziskia achana na zile habali za kibaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…