Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Wewe umesema Chadema ni mpango wa mungu na yeyote anaesimama na Chadema anafanikiwa. Ndo nikakuuliza Lowassa alifanikiwa? Si alisimama na chadema
Alishinda kwa kura za halali,lakini tatizo tume
 
Usiseme mwanasiasa mashuhuri zaidi Africa.......

Sema duniani mkuu.....
 
Chadema walipaswa kuungana na Membe tu ndio turufu pekee kwa wagombea urais wa Tanzania kutoka upinzani
 
Mwenye macho haambiwi Tazama.Chadema ni mpango wa Mungu
Halafu ni Nani huwa anawaambia kwamba Mungu aweza kuwa mshabiki wa vyama nyie wehu?

Tangu lini umeskia au Umeona Mungu akihudhuria vikao vyenu huko chademani?

Acha kufananisha vitu vya kijinga na Muumbaji!!
 
h

apo anapita nyalandu hivi unamjua mbowe wewe>? za awali tu kambwaga lissu vibaya unategemea nini ?
Nguruwe wa Lumumba wambea sana nyie
JamiiForums-1364449287~2.jpg
 
Halafu ni Nani huwa anawaambia kwamba Mungu aweza kuwa mshabiki wa vyama nyie wehu?

Tangu lini umeskia au Umeona Mungu akihudhuria vikao vyenu huko chademani?

Acha kufananisha vitu vya kijinga na Muumbaji!!
Kwa tusi uliloandika tu humjui Mungu Wala hujui anafananaje.Ibilisi ndiye huwa anaongoza watu wanaoporomosha matusi.Sasa tangu lini Ibilisi akajua utamu wa nguvu ya Mungu?
 
toa maelezo mzee usilalamike tu unaamini kweli chademaitashinda?au unajifariji tu maana kitu kiko wazi kabisa lakini unalazimisha kuwa chadema mtashinda au unawaenjoy wenzio tu unajuwa sikuelewi?
Jifunze kwanza kuandika kiswahili vizuri ndiyo urudi hapa
 
Alikuwa
Hata lowasa mlisema ni mpango wa mungu wenu.
Ni mpango wa MUNGU kuiwezesha chama kulipwa ruzuku kubwa na kujiimarisha toka kwrnye tawi. Bahati mbaya hii iligunfulika na kuzuiwa mikutano ya kisiasa kwacvyama vya upinzani. HILI LINAHITAJI UFAHAMU WA JUU KULIONA
 
Wewe umesema Chadema ni mpango wa mungu na yeyote anaesimama na Chadema anafanikiwa. Ndo nikakuuliza Lowassa alifanikiwa? Si alisimama na chadema
Wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom