Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Naona Kama Kuna repitition
Kamati kuj ilikaa na kupiga kura na kupitisha Watu watatu Nyalandu ,Lisu na yule mama

Sasa wanakaa Tena kwa issue hiyo hiyo? Nikitarajia vikao viwe viwili tu vya baraza kuu na mkutano mkuu
Sikuwahi kusikia kwamba wamechuja wagombea wale saba waliorudisha fomu, kama unaushahidi Wa wagombea waliochujwa weka hapa mkuu
 
Wewe ndio ulikuwa mwenyekiti wa hicho kikao?
Uongo wenu wa kichawi pelekeni huko! KK ingepigaji kura mlizokuwa mnaeneza bila kuwasikiliza wagombea?
Kwa hiyo Kuna kurudia Tena kamati kuu kupiga kura? Mbona hamueleweki Chadema kwenye issue ya uteuzi wa mgombea Uraisi?

Ni Mara ya pili mnaleta ujinga wenu .Mara ya Kwanza mlisema mtu yeyote anayetaka kugombea uraisi aandike barua !!!! Watu kibao wakaandika barua akiwemo Mbowe, Msigwa,Lisu nk baadaye ghafla mksgeuka Tena ohh anayetaka kugombea Uraisi achukue form ya kuomba kugombea

Hivi nyie wajinga hamna standard procedure documented za mambo yenu grow up
 
Molemo media mmeamua kuchagua upande
Tumechagua upande gani? Sisi tunaripoti kinachoendelea.Ndiyo Uhuru wa habari.Kamwe hatujasema tunamsapoti nani
 
Acha uongo mkuu
Uongo upi Sasa? Kwa akili yako Mbowe ndiye mkubwa kuliko chama? Angekuwa hivyo so angegombea Urais Kama wenyeviti wa vyama vingine wanavyogombea?
 
Uongo upi Sasa? Kwa akili yako Mbowe ndiye mkubwa kuliko chama? Angekuwa hivyo so angegombea Urais Kama wenyeviti wa vyama vingine wanavyogombea?
Ndio
Mbowe ni mkubwa kuliko CHADEMA.Hayp mengine ni nadharia tu tusipoteze muda kujadili hapa mkuu.
 
Ndio
Mbowe ni mkubwa kuliko CHADEMA.Hayp mengine ni nadharia tu tusipoteze muda kujadili hapa mkuu.
CCM huwa mnaamini hivyo mkidhani ndani ya Chadema ni sawa na CCM.Fanyeni Homework yenu vizuri zaidi
 
Sasa Mbona kama umeanza kampeni kabla ya muda unamnadi Lissu tu!!!
 
Upinzani Ni chachu ya maendeleo nchini..asiejua Hilo ataelewa mwaka ambao chama kitakuwa kimoja tu..hapa nchini.
 
Kama ni chakula basi umezidisha chumvi hata kukila imekuwa shida. Chadema tengenezeni timu nzuri ya kuhabarisha Umma shughuli za kichama kwa weledi na uhalisia, hii taarifa imejaa propaganda ambazo zinafanya Chadema ionekane kama kikundi Cha Wajanja flani au wahuni fulani hivi
 
Standard procedure ndio kama hizo za kudurufu form moja na anayetaka ya pili kumfukuza uanachama?
 
Makao makuu ya nchi na serikali yapo Dodoma kwa sasa, ni kwannii Chadema mnakuwa wagumu kutekeleza hilo suala la kuhamishia HQs zenu Dodoma ?
 
Ni Katika Muendelezo ya Kutimia kwa Mpango wa Mungu
 
Endeleeni kujifariji

Mbona kama unakimbia kwa vidole? Kwa hiyo kikao hakitafanyika ama ajifariji katika nini? Ikiwa ccm iko imara, kubwa na inapendwa kwa nini mnakiaibisha kwa kuogopa CHADEMA namna hiyo? Mbona CHADEMA hawana woga kama huu? Sasa hapa unachopinga ni nini kama siyo kuthibitisha kwamba ccm mbovu ni ile ile isipokuwa kwa sasa inatembelea jina la Rais na ambaye hana hofu kama ninyi?

Jamani tunzeni hadhi zenu. Mnaaibisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…