Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
CCM wameweka mabango ya wagombea wao ila bado wanapiga magoti, wanakuna nazi jamvini, wanajigaragaza chini bila kusahau wanaosha masufuria kwenye misiba so hii imekaa vipi?
Iyo hela ya mboga,unaitolea macho sababu ya umaskini wako ulioletwa na cscsmmHali ya kifedha mbaya?. Zimeenda wapi ruzuku, na michango ya wadau?. Chama saccos kimejaa ubadhilifu wa kutisha, huku mwenyekiti wenu akichekacheka tu. Watanzania wanawatazama mnavyojikanyaga.
CCM wameweka mabango ya wagombea wao ila bado wanapiga magoti, wanakuna nazi jamvini, wanajigaragaza chini bila kusahau wanaosha masufuria kwenye misiba so hii imekaa vipi?
Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi.
Niseme kwamba kampeni hizi za mwaka huu ni za kipekee. Ziko tofauti sana. Wapiga kura wengi kwa sasa wana akili nyingi sana na hawasikilizi blah blah. Ilishazoeleka wagombea kutamka uongo ulio wazi na ahadi nyingi hewa ila kwa mwaka huu inaonekana kabla mgombea hajatamka kitu inabidi ajifikirie mara nyingi sana. Watu wanataka maelezo ya kina. Kwahiyo hakuna Chama chenye wakati mrahisi tunapoiendea tar 28 Octoba.
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kimeonyesha kuleta changamoto kwenye uchaguzi huu hasa baada ya kupata mgombea jasiri na ambaye inaonekana wazi hakuna anachohofia. Chama hicho kina mtaji mkubwa wa kura za huruma kutoka kwa watu wanaoamini kuwa Lisu alitendewa ubaya na CCM. Bahati nyingine ya hivi karibuni ambayo inaweza kuwaongezea kura za huruma ni hiki kitendo cha NEC kumsimamisha Lisu kufanya kampeni kwa siku 7. Tukiachana na kura za huruma ni wazi CHADEMA watapata kura chache kutoka makundi mengine ya wananchi.
Kosa la kiufundi ambalo CHADEMA wamelifanya na litawagharimu kwenye sanduku la kura tar 28 ni kutobandika picha za mgombea wao kama walivyofanya vyama vingine. Ikumbukwe Lissu amekaa nje ya nchi kwa miaka kadhaa na alikuwa adimu machoni mwa wapiga kura. Au chama kimesahau kwenye karatasi ya kupigia kura kuna picha za wagombea? Mabango kwa watu wa marketing watakubaliana nami ni nyenzo kubwa sana kwenye kuitangaza bidhaa. Mtu asiyejua kusoma itamsaidia sana kwenye kupiga kura. Watu kama wahadzabe mngekuwa mmewarahisishia sana.
Mimi nionavyo ndani ya CHADEMA kuna ambao kwa makusudi waliamua kumhujumu Lisu kwa kutoweka mabango. Au pia watu hao wameona tu Rais Magufuli anatosha kwahiyo wamsaidie kinamna. Ombi langu kwa Rais JPM asimsahau Mh Tundu Lissu kwenye teuzi za serikali yake ijayo.
chama hakina fedhaMimi nionavyo ndani ya CHADEMA kuna ambao kwa makusudi waliamua kumhujumu Lisu kwa kutoweka mabango. Au pia watu hao wameona tu Rais Magufuli anatosha kwahiyo wamsaidie kinamna. Ombi langu kwa Rais JPM asimsahau Mh Tundu Lissu kwenye teuzi za serikali yake ijayo.
Unautumia uhuru wako wa kutoa maoni kipumbavu sana, no wonder kichwa chako kina kamasi tu ndiyo maana unaongea huu ujinga. CHADEMA ni taasisi imara sana, kwa taarifa yako CCM inatumia kodi zetu kuendesha campaign zake, inatumia pesa za kwenye mifuko ya mafao kuendesha campaigns zake, inatumia NEC kuomba pesa kwenye mashirika binafsi kwa ajili ya kuendeshea campaigns zake, na zaidi ni kutumia vyombo vyote vya dola kwa ajili ya kuhakikishiwa kinarudi tena madarakani. Bahati mbaya tu Jf imetoa wigo hadi vilaza kama wewe kuongea hata ujinga otherwise hukutakiwa kuwa humu kabisa!Hali ya kifedha mbaya?. Zimeenda wapi ruzuku, na michango ya wadau?. Chama saccos kimejaa ubadhilifu wa kutisha, huku mwenyekiti wenu akichekacheka tu. Watanzania wanawatazama mnavyojikanyaga.
ebu tusaidie mapato na matumizi ya chademaUkata umesababishwa na nini? Jibu ni matumizi mabaya ya ruzuku na michango ya wanachama hasa wabunge.
Hii comment yako imeshaonyesha upande wako ulipo izo zingine ni polojo tuRais Magufuli amteue kwenye nyadhifa itakayomfaa. Lissu kazungukwa na watu wenye uwezo mdogo mno kwenye kufikiria. Uchaguzi ukiisha ajiunge CCM kwa wasomi wenzake.
Je umeulizia gharama za kuyaweka hayo mabamgo yaani kuna gharama tu za hilo bango kwa wewe kuliangalia ama kukilining'iniza 'displaying fee 'Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi.
Niseme kwamba kampeni hizi za mwaka huu ni za kipekee. Ziko tofauti sana. Wapiga kura wengi kwa sasa wana akili nyingi sana na hawasikilizi blah blah. Ilishazoeleka wagombea kutamka uongo ulio wazi na ahadi nyingi hewa ila kwa mwaka huu inaonekana kabla mgombea hajatamka kitu inabidi ajifikirie mara nyingi sana. Watu wanataka maelezo ya kina. Kwahiyo hakuna Chama chenye wakati mrahisi tunapoiendea tar 28 Octoba.
CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kimeonyesha kuleta changamoto kwenye uchaguzi huu hasa baada ya kupata mgombea jasiri na ambaye inaonekana wazi hakuna anachohofia. Chama hicho kina mtaji mkubwa wa kura za huruma kutoka kwa watu wanaoamini kuwa Lisu alitendewa ubaya na CCM. Bahati nyingine ya hivi karibuni ambayo inaweza kuwaongezea kura za huruma ni hiki kitendo cha NEC kumsimamisha Lisu kufanya kampeni kwa siku 7. Tukiachana na kura za huruma ni wazi CHADEMA watapata kura chache kutoka makundi mengine ya wananchi.
Kosa la kiufundi ambalo CHADEMA wamelifanya na litawagharimu kwenye sanduku la kura tar 28 ni kutobandika picha za mgombea wao kama walivyofanya vyama vingine. Ikumbukwe Lissu amekaa nje ya nchi kwa miaka kadhaa na alikuwa adimu machoni mwa wapiga kura. Au chama kimesahau kwenye karatasi ya kupigia kura kuna picha za wagombea? Mabango kwa watu wa marketing watakubaliana nami ni nyenzo kubwa sana kwenye kuitangaza bidhaa. Mtu asiyejua kusoma itamsaidia sana kwenye kupiga kura. Watu kama wahadzabe mngekuwa mmewarahisishia sana.
Mimi nionavyo ndani ya CHADEMA kuna ambao kwa makusudi waliamua kumhujumu Lisu kwa kutoweka mabango. Au pia watu hao wameona tu Rais Magufuli anatosha kwahiyo wamsaidie kinamna. Ombi langu kwa Rais JPM asimsahau Mh Tundu Lissu kwenye teuzi za serikali yake ijayo.
Mkuu acha utani,mitandao ipi hiyo unayoiongelea,ni watanzania wangapi wanao uwezo wa kununua bando ili tu kufuatilia blah blah za lissu.Uelewa wako ni mdogo hakuna anayetaka kumhujumu Lissu ndani ya CDM ya kweli inajulikana hali ya kifedha mbaya hata Lissu alisema hilo.
Mabango hayasaidii kitu hasa siku hizi za mitandao na media nyingi. Pamoja na mabango kona zote magufuli anapiga magoti kuomba kura ni ajabu!
Tabia ya watz Ni jupika mahungu tu,Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni kuhusu uchaguzi huu. Hii pia imechangiwa na wengi wenu kunitumia PM kuniomba nitoe maoni yangu kuhusu mwenendo wa uchaguzi huu. Nimekubali kufanyia kazi maombi ya wengi.