Uchaguzi 2020 CHADEMA kutobandika picha za Tundu Lissu ni kosa la kiufundi

CDM INA MIAKA 25 KATIKA CHAGUZI ILE ALAMA YA VICTORY NDO TUTAITAFUTA KWE YE KARATASI LAMKUPIGA KURA
 
Wanachadema tumieni lugha za kistaarabu mnapochangia huu uzi makini.
 
Picha ya TL imo ndani ya mioyo ya watanzania -- picha ya karatasi kwenye kuta ni nini? Hapa tunaongelea nafsi za watanzania kuwa na TL ndani yake.

Hizo gharama za kushapisha picha na kulipia mabango zitumike kuwapa Semina, kuwasafilisha na kuwalipa posho mawakala wote wa CDM nchi nzima.
 
mjinga gani huyo akufuate pm kuomba utoe maoni ?mbona unajipaisha we mbuzi
 
Mitandao na media nyingi vijijini? Wananchi wangapi huko wana computers au smartphones?
 
Mbali na hilo TRA na halmashauri wanadai kodi mabango ya upinzani.

Kingine vijana wa ccm wanang'oa mabango yote ya upinzani.

Tumeona polisi waking'oa bendera za CHADEMA sehemu mbalimbali za nchi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaotaka hadi waone picha ya Lissu kwenye mabango ni wajinga ambao ndio mtaji wa ccm,hivyo chadema hai deal na mijitu mijinga na isiyojua kusoma na washamba hawatumii smartphone kupata taarifa. Chadema ita deal na watu wenye kutumia mitandao ya kijamii watu wenye kujielewa sio hao wajinga wajinga ambao ni mtaji wa ccm.
 
Mkuu Lissu anajulikana kwa asilimia 100%

Uchaguzi wa mwaka huu ni Jpm vs Lisu.

Ccm anapozungumza lazima amtaje Lissu.
Cdm anapozungumza lazima amtaje Jpm.

Hakuna mtu asiyewafahamu wagombea hao.
Zile zama za TV kwa mwenyekiti wa kijiji zilipitwa na wakati.
Watu wanamiliki ving'amuzi huko vijijini. Taarifa ya habari wanaangalia wanawaona wagombea.
Tena hao vijijini muda mwingi hawana kazi so kujadili siasa ni suala LA kawaida.
 
Dah! Basi msilalamike mtakaposhindwa
 
Kubandika bango la mpinzani kwenye nyumba yako au biashara yako ni kujitangazia vita na TRA
Hii ni nchi ya ki dikteta....
 
Stratergy ya kutobandika picha ya Lissu wakati Magufuli kabandika inaitwa Reverse Marketing, ni stratergy inayomfanya mtu atafute information yeye mwenyewe badala ya kuletewa information.

Kitendo cha Magufuli kuonekana peke yake tu kinawakasirisha watu, kinawaboa watu, watu wanamuona kama anaonea mwenzie kwa hiyo Watu automatically wanamuwaza Lissu na wana muignore Magufuli.

Watu wasipoona picha za Lissu wakiuliza wanaambiwa Magufuli kaziwekea kodi ndiyo maana hazipo, watu wanazidi kuchukia zaidi, wanasema yeye mbona kabandika, kodi kailipa lini?

Ningekuwa Lissu ningemshauri kama ana uwezo wa kumatch matangazo ya Magufuli basi naye abandike, kama hana uwezo wa kummatch kimatangazo basi asibandike kwa sababu mabango hayohayo ya Magufuli yanawafanya wananchi automatically wajue kuwa yeye Lissu ndo mpinzani wake Mkuu na wao wenyewe wanaanza kujishughulisha kutafuta information zake wao wenyewe
 
hizi nd akili za lumumba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Rais Magufuli amteue kwenye nyadhifa itakayomfaa. Lissu kazungukwa na watu wenye uwezo mdogo mno kwenye kufikiria. Uchaguzi ukiisha ajiunge CCM kwa wasomi wenzake.
Hahahhahahahha kwahiyo unataka kusema wote wanaomsaport lissu wanauelewa mdogo lakini wale wanaomsuport magufuri wanauelewa mkubwa?

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani utueleze umuhimu wa mabango kizazi hiki. Mbona ccm wamebandika mpaka kwenye mitaro lakini wenye akili hata hawana muda nao

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Rais Magufuli amteue kwenye nyadhifa itakayomfaa. Lissu kazungukwa na watu wenye uwezo mdogo mno kwenye kufikiria. Uchaguzi ukiisha ajiunge CCM kwa wasomi wenzake.
Unajua hata kuku huwa wanajiona wanaakili kuliko binadamu?
 
Hawa ndio wanaomtaka Tundu awe rais awasaidie mambo yao na hawahawa ndio Tundu amekua akiwatetea kwamba serikali ya Tanzania imewaonea sana kwa kuvunja baadhi ya mikataba, kutoa hamasa ya ushoga huku akijua wazi sheria ya mahusiano ya ndoa Tanzania inataka mahusiano yawe kati jinsia mbili tofauti.
Bahati nzuri ni kwamba watanzania watamchagua mtu wanaemtaka wao, mtu watakaemtuma na mtu anayesimama kwaajili yao
 
Huna akili .unaandika magazeti ila data huna
 
kwani nani anakaa na lile kapu la hela linalokusanywaga kwa wimbo wa Bob Marley?? " One Love"
Kila mtu anaelewa ni upuuzi mtupu hakuna lolote. Tutashinda bila hela, kwa miguu peku, na ofisi zetu zikiwa chini ya miti, na refarii akiwa mchezaji wenu, huku majeshi yote yakiwalinda na kuwasapoti tutashinda mchana kweupe mbele yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…