Uchaguzi 2020 CHADEMA kutobandika picha za Tundu Lissu ni kosa la kiufundi

Aliyekuambia huko juu wanamtaka Lisu Nani? Wewe huoni anahangaika Sana mwenyewe labda na mgombea ubunge wa Hilo Jimbo atakalo kuwepo. Wanamchekea mdomoni kwenye mioyo Yao hayupo
 
Hatuhitaji mabango
 
Zimeenda wapi trilion 1.5 walizotoa wahisani kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la Bukoba? CCM mmezipeleka wapi? Magu amezipeleka wapi?
Hii ungeifungulia Uzi tukachangia ingefaa Sana kuliko kuchomekea kwenye Uzi wa mwenzio
 
Tumembandikwa kwenye mioyo yetu hapo vipi unawezaje kumtoa kwa mfano
 
Rais Magufuli amteue kwenye nyadhifa itakayomfaa. Lissu kazungukwa na watu wenye uwezo mdogo mno kwenye kufikiria. Uchaguzi ukiisha ajiunge CCM kwa wasomi wenzake.
Degree za kuungaunga...Roma Mkatoliki
 
Utakua unatafuta uteuzi sio bure.
 
CDM INA MIAKA 25 KATIKA CHAGUZI ILE ALAMA YA VICTORY NDO TUTAITAFUTA KWE YE KARATASI LAMKUPIGA KURA
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
Kushindwa huko ni kutokana na kukosa kura za hao washamba wasio na smartphone? au hao wajinga wasiojua kusoma?
Cha muhimu ushindi haijalishi washamba au wajinga ndo wameleta ushindi. CHADEMA mjikite kufika maeneo mengi sio mnaishia mijini tu
 
Cha muhimu ushindi haijalishi washamba au wajinga ndo wameleta ushindi. CHADEMA mjikite kufika maeneo mengi sio mnaishia mijini tu
Watu ni washamba na wajinga hata kusoma hawajui ni wa nini hao watu?kwa sababu ili upate kura zao hao watu inabidi kwanza wakuelewe ila hao kwa kuwa ni wajinga hivyo hawaelewi,sasa kuna haja gani ya kupoteza muda ya kuangaika na mijinga isiyoelewa?
 
CCM wameweka mabango ya wagombea wao ila bado wanapiga magoti, wanakuna nazi jamvini, wanajigaragaza chini bila kusahau wanaosha masufuria kwenye misiba so hii imekaa vipi?
Kweli mwaka huu Tundu Lissu anawapeleka mchakamchaka..........

Hadi hii mijitu ya CCM inadiriki kusugua misufuria ya kina mama ntilie?

Tundu Lissu endelea kupiga spana hivyo hivyo, hadi hao maccm uwashikishe adabu kisawasawa!
 
Watu ni washamba na wajinga hata kusoma hawajui ni wa nini hao watu?kwa sababu ili upate kura zao hao watu inabidi kwanza wakuelewe ila hao kwa kuwa ni wajinga hivyo hawaelewi,sasa kuna haja gani ya kupoteza muda ya kuangaika na mijinga isiyoelewa?
Kwenye kura hata ya mjinga inahitajika. Kama hamtaki kura za wajinga ina maana mmekubali kushindwa.
 
Kuproduce picha ni hela. Kuibandika pia unalipia ile space. Ni mambo ya ukata tu haya!
 
Nikuambie kitu ambacho hujakifanyia utafiti ni hiki, mfano mzuri ni huku kwetu ambapo vibaraka wa ccm wakikuona nyumbani pako Pana bango au bendera ya CHADEMA siku inayofuata unajikuta upo kituo cha police kwa kosa ambalo hulijui, sasa kuepusha matatizo tumeamua kuweka mabango, bendera na picha za wagombea wetu mioyoni mwetu. Tukutane 28 October 2020 tuna jambo letu.
 
kama unataka picha kabandike chumbani kwako muitazame na mumeo
 
safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…