CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

Sasa Kwa nini Serikali ikae kimya? Basi watakuwa Wana jambo lao.

Ikisema ianze kuawaeka ndani kama enzi ya magu watu wataanza kulia lia tena kua serikali ya kibabe.inshort wananchi wanatumiwa vibaya mno na hawa viongozi wapuuuzi.nilikua chadema kindaki ndaki ila saiv nimewaona ni watu wa hovyooooo kuliko yaan hawafai kupewa nchi.mwenye akili timamu hili lazima alione
Kiongozi mkuu wa upinzani kua na chuki ni mbaya xnaa mwisho wa cku yataja tokea yale mauaji kama ya south a.
 
Hizi za Ubaguzi

Ulianza kusema nyie Wasafwa mmetengwa Watu wa Dar wamepewa mabilioni 😂😂 Sijui 800!!!
Pumbavu,wewe ndio mpuuzi na Huwa mara zote unawataja wasafwa Kwa Ubaguzi na Huwa nakupuuza kumbe ni sehemu Yako
 
Inatakiwa iwafikishe kwenye vyombo vya sheria maana ndio salama ya Nchi
 
Haujitambui.na unakuta wewe ni Msomi kabisa ! Unalia lia hapa usaidiawe na Nani,ulikotoa source zako hawajakuonesha mahala pa kwenda endapo mtu atakiuka?
 
Maji mtaita mma this time🤣🤣
 
 
Wajibiwe vizuri hoja zao! Over.

Ila hili la bandari..... anyway
 
chadema wamekua vikaragosi vya nchi kwa sasa, ukitaka kujua hilo tizama jengo walilokodisha kua ofisi.
 
Kama mtu anaamua kuingia mkataba wa hovyo hvyo kisa ana mamlaka bila kujali wengi wanasemaje inabd kumchunguza vzur kama ni mwenzenu , kama wangesikiliza since day one yasingefika huku... Nyie chawa kazi yenu ilikuwa kusifia ili ugali uende kinywani ....
 


Andamana. Kwa kweli haikubaliki.
 
Unanufaika na nini Kwa chuki? Nazirudia au nakemea?
Unazirudia na unazipa tafsiri ya uongo ili watu wawachukie viongozi wa Chadema. Hakuna mahali Mbowe amesema kuwa bandari zinauzwa kwa sababu Rais ni mzanzibari.

Amandla...
 
hakuna cha hate speech ukweli unabaki kuwa ukweli kwani rais siyo mzanzibari?jibuni hoja hatutaki hizo blabla zenu humu ndani.siyo yeye tu wapo na wengine waliohusika ambao ni wanzanzibari.wakauze visiwa vyao.
 
Kuambiwa ukweli sio hate speech, ni halali yenu, wazanzibari wamezitoa bure bandari za Tanganyika kwa waarabu.
 
Pengo ana nguvu kubwa kiasi cha kumuandaa mtu kuiongoza hii Tz ?....
 
Kwahiyo kuuza nchi ndio inakubalika? Vipengele vya mkataba vinavyoiuza Tanganyika viondolewe, dawa ni hiyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…