CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

Ilipora lini? Kwa nini hamkwenda Mahakamani? Ingepora mungepata mbunge hata mmja?
Kupora uchaguzi kwani ni jambo la kuuliza? Niende mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee mwaka wa pili huu hakuna hukumu, wakati Kenya hapo kulikuwa na kesi ya urais imeisha na hukumu tayari japo ilianza nyuma ya hiyo ya hao Covid 19? Hujasikia Rostam kasema hizi mahakama zinapigiwa simu na kupewa maagizo?

Kupata mbunge mmoja ni dalili kuwa uchaguzi haukunajisiwa? Mnaingia madarakani kwa njia za kishenzi, halafu mnataka mpewe heshima. Hakuna heshima kwa mtu anayetaka kuuza mali za Tanganyika.
 
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..

Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..

Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.

Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..

Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.

Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?

My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..
Vyama vinavyohubiri chuki na Ubaguzi tuvikatae.

Mbona nyie mnauza rasilimali za nchi ? Acheni uhuni ,chadema ni chama kimevuka Mauti, mnauza nchi alafu mnalaum kauli kali , acheni bandari za watu vinginevyo mtalambwa
 
Rasilimali zipi zimeuzwa? Kwa bei gani na Kwa sh ngapi?
Mtalambwa nawambia , unauliza swali la kijinga namna hii kweli, wewe unaishi peponi au dunia hii, ? Mmeuza aridhi ya wamasai , mnauza bandari ,
 
Mbona nyie mnauza rasilimali za nchi ? Acheni uhuni ,chadema ni chama kimevuka Mauti, mnauza nchi alafu mnalaum kauli kali , acheni bandari za watu vinginevyo mtalambwa

Mtalambwa nawambia , unauliza swali la kijinga namna hii kweli, wewe unaishi peponi au dunia hii, ? Mmeuza aridhi ya wamasai , mnauza bandari ,
Jibu swali rasilimali zipi ambazo Serikali imeuza? Imemuuzia nani Kwa bei gani?
 
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..

Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..

Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.

Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..

Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.

Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?

My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..
Vyama vinavyohubiri chuki na Ubaguzi tuvikatae.

katika yote uliyoandika, hebu onyesha hate speech ipo wapi?
 
Mbona wewe unaangalia tuu huendi kuandamana?

Kuandamana wapi? Kwani kupinga mpanga uingie barabarani? Kwani wote wanaoupinga huo mkataba wa muarabu na chifu hangaya wameingia barabarani? Madalali wenzako wamepewa V8 wewe umepewa nini?
 
Back
Top Bottom