ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
ndio talking point mlizopewa wiki hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio talking point mlizopewa wiki hii?
Ccm bhana tunakaa kupambania aman kuliko hakiUmoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.
Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..
Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..
Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.
Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..
Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.
Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?
My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..
Vyama vinavyohubiri chuki na Ubaguzi tuvikatae.
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.

Ningeshangaa sana usingemtaja Kardinari Pengo,wewe jamaa udini utakumaliza.Hate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..
Ndo Sera zao miaka yote...
Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
Inaandikwa 'hela' siyo elaTafuta ela umaskin ni chanzo cha chuki na hasira [emoji23]
Nilipoona tu undishi wa 'xana' na pia kutokujua matumizi ya nukta na baada ya nukta uanze na herufi kubwa,basi kijana unahitaji kwanza kurudi shule ujifunze basics za uandishi kisha urudi sasa kuwabeza CHADEMA.Ikisema ianze kuawaeka ndani kama enzi ya magu watu wataanza kulia lia tena kua serikali ya kibabe.inshort wananchi wanatumiwa vibaya mno na hawa viongozi wapuuuzi.nilikua chadema kindaki ndaki ila saiv nimewaona ni watu wa hovyooooo kuliko yaan hawafai kupewa nchi.mwenye akili timamu hili lazima alione
Kiongozi mkuu wa upinzani kua na chuki ni mbaya xnaa mwisho wa cku yataja tokea yale mauaji kama ya south a.
hakuna ubaguzi wala hate speech, odoeni mkataba huu wa kipuuzi muone kama watu wataongea hayo mnayosema ni ubaguzi. Inakuwaje Tanganyika ndio wanaopenda sana MAENEDELEO kuliko Zanazibar? mzanzibar anauza Tanganyika ukiuloiza unaitwa mbaguzi. jifunzeni kuwa na vichwa vyenye Uwezo wa kusikiliza hatabyale msiopenda kusikia. Futeni huo mkataba wenu wa KIMANGUNGO au jumuisheni na Bandari za Zanzibar.Hate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..
Ndo Sera zao miaka yote...
Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
Mumesahau wakati CCM inasema "Machotara wa hizbu Zanzibar ni ya Waafrika"Hate speech..
Hii ni hofu yakoHate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..
Ndo Sera zao miaka yote...
Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
Nime confirm nilichokuwa ninamashaka nacho.Hate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..
Ndo Sera zao miaka yote...
Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
Unawaza tu nchi wakati rasilimali za nchi zinateketea.Hiyo nchi itasaidia nini kama ikiwa haina kila kitu muhimu.wacha wenye akili wapambanie tulivyonavyo.Mambo ya nchi yatakuja tu kwasababi sio lazima iwe leo.tumia akili wakati mwingine.Hate speech..
Ubaguzi..
Uwongo ..
Ndo Sera zao miaka yote...
Walikuwa na nafasi ya ku engage na Samia tupate katiba mpya...
Now wamejiunga na Pengo na Slaa wakifikiri wao watapewa nchi mwaka 2025 kumbe Pengo ana mtu wake Philip Mpango anamuandalia mazingira...akiingia Mpango hakuna cha katiba mpya wala Muungano WA serikali 3...ni mwendo mdundo kama Magufuli..
Umoja wa Mataifa Ulitoa Waraka wa kukataza Matumizi ya Lugha za Kibaguzi "Hate Speech" Kwa Wanachama wake pindi wanapotaka kufikisha ujumbe wao wa kupinga au kujitafutia maslahi mbalimbali.
Sasa hapa Tanzania Toka Sakata la Makubaliano ya Serikali na DP World kuhusu uendeshaji wa Bandari kumetokea sintofahamu ya makundi mbalimbali ya wanaopinga na kukubali..
Lakini Kwa masikitiko Makubwa Jamaa wa Chadema wamekuwa wakitumia Lugha ya Ubaguzi na Chuki kufikisha maoni Yao hayo hasa Wakimlenga Rais "kwamba anauza Bandari Mali ya Tanganyika Kwa sababu yeye ni Mzanzibari",alianza Mbowe na Sasa imekuwa Kwa Wanachama wao wote si Lisu Wala Lema au mashabiki wao..
Hoja Iko hapa,Chadema wanaojinasibu kuwa na wanasheria wabobezi na watu wanaoheshimu utawala Bora wamekuwa wanafanya kosa Hilo Kwa Makusudi wakati wanafahamu fika ni kinyume na Maadili na tunu za Taifa hili na pia ni kinyume na Jumuiya ya Umoja wa Mataifa,na wanafanya hivi hadharani kwenye majukwaa na Kwa kutumia mitandao ya Kijamii.
Ndugu zangu amani ni kitu Cha msingi na adhimu kujengwa ila ni sekunde tuu kinaweza kupotea.Huko Rwanda,Burundi,DRC,South Sudan,Sierra Leon,Central Africa Republic,Miamar,Germany nk kulianza na Kauli za kueneza Chuki za kimaeneo,rangi,utaifa na baadae dini na ukabila vikaungana na kuzusha Moto mkubwa wa Mauaji..
Kumekuwa na wito wa watu na makundi kadhaa kutaka swala la Bandari lisitumike kueneza Chuki na Ubaguzi ila wao wameendelea na Serikali imekaa kimya.
Swali,Je huwezi fikisha ujumbe wako bila kutumia Chuki ukaeleweka? Na kama Kuna vyombo vya Utoajia Haki na kesi Iko Mahakamani Kwa nini Chadema Kwa kutumia Wanachama wao akiwemo Dr.Slaa Wanaendeleza chuki?
My Take
Naomba sana Mh.Rais asikae kimya maana yeye ndie aliapa kulinda Amani ya Tanzania,kuwaacha watu kama Hawa wanaeneza Chuki Kwa visingizio vya Demokrasia na uhuru wa kutoa maoni haikubaliki.
Uhuru na Demokrasia usiofuata maadili ni hatari kwa Ustawi nastakabali wa Taifa na Jumuiya ya Mataifa Kwa Ujumla..
Vyama vinavyohubiri chuki na Ubaguzi tuvikatae.
Itakuwa Bora tuongozwe na Mtanganyika halafu ni msomi wa UchumiHate speech..

Wameuza Kwa nani na Kwa bei gani?Waliouza Bandari wana chuki na Tanganyika
Huyu ni mdini wa hovyo.Ningeshangaa sana usingemtaja Kardinari Pengo,wewe jamaa udini utakumaliza.
Hate speech..