CHADEMA Kutumia Sakata la DP World Kueneza "Hate Speech" Haikubaliki na Ni Kinyume na Maadili ya Nchi na Umoja wa Mataifa

Ilipora lini? Kwa nini hamkwenda Mahakamani? Ingepora mungepata mbunge hata mmja?
Kupora uchaguzi kwani ni jambo la kuuliza? Niende mahakama zipi, hizi zenye kesi ya kina Mdee mwaka wa pili huu hakuna hukumu, wakati Kenya hapo kulikuwa na kesi ya urais imeisha na hukumu tayari japo ilianza nyuma ya hiyo ya hao Covid 19? Hujasikia Rostam kasema hizi mahakama zinapigiwa simu na kupewa maagizo?

Kupata mbunge mmoja ni dalili kuwa uchaguzi haukunajisiwa? Mnaingia madarakani kwa njia za kishenzi, halafu mnataka mpewe heshima. Hakuna heshima kwa mtu anayetaka kuuza mali za Tanganyika.
 
Mbona nyie mnauza rasilimali za nchi ? Acheni uhuni ,chadema ni chama kimevuka Mauti, mnauza nchi alafu mnalaum kauli kali , acheni bandari za watu vinginevyo mtalambwa
 
Hate speeches ni jinai kama jinai zingine zozote zile, japo suku gang pia nao wameingilia hapohapo mlango huo huo!
Jomba kwani chanzo Cha tatizo ni nini hasa..sijafuatilia haya Mambo muda mrefu
 
Braza umevurugwa kwani zile za Mwendazake hazikuwa hate speech??
 
Mbona nyie mnauza rasilimali za nchi ? Acheni uhuni ,chadema ni chama kimevuka Mauti, mnauza nchi alafu mnalaum kauli kali , acheni bandari za watu vinginevyo mtalambwa
Rasilimali zipi zimeuzwa? Kwa bei gani na Kwa sh ngapi?
Mtalambwa nawambia , unauliza swali la kijinga namna hii kweli, wewe unaishi peponi au dunia hii, ? Mmeuza aridhi ya wamasai , mnauza bandari ,
 
Jibu swali rasilimali zipi ambazo Serikali imeuza? Imemuuzia nani Kwa bei gani?
 
katika yote uliyoandika, hebu onyesha hate speech ipo wapi?
 
Mbona wewe unaangalia tuu huendi kuandamana?

Kuandamana wapi? Kwani kupinga mpanga uingie barabarani? Kwani wote wanaoupinga huo mkataba wa muarabu na chifu hangaya wameingia barabarani? Madalali wenzako wamepewa V8 wewe umepewa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…