Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Kama CCM chini ya Magufuli inakubalika kwa wananchi, kwanini CCM haitaki Tume huru ya uchaguzi? Bashiru alishasema mtaendelea kutegemea vyombo vya ulinzi kushinda uchaguzi.
Wewe hukuelewa kauli ya Dk Bashiru acha kupayuka.
 
Tuvumiliane tu jamani. Isiwe nyani acheka kundu la mwenziwe. Wote mnatukanana. CCM mnatukana. CHADEMA mnatukana, na ACT mnatukana. Watu husema: "don't throw stones if you are leaving in a glass-house".
Ccm,Nccr mageuzi na Cuf hawana lugha za matusi.
 
Mleta uzi wahi kwa mhasibu wa chama chako aliyekaribu uchukue posho yako pamoja na fao lako la uzazi.Nimekuona unakaribia kujifungua.!

Hongera mama kijacho.!
 
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
until and unless na sisi CCM tutakapoacha kutumia mapolisi na vyombo vingine vya dola kuwakandamiza wapinzani, ninaunga mkono kwa 100% vyama vya upinzani vitumie mbinu zote (ziwe chafu au safi) katika kuhakikisha zinapambana nasi hadi kuhakikisha chama chetu kina play fair game. hatuwezi kuwa sisi tunacheza faulo halafu tukifanyiwa faulo tuanze kulialia.

kwa hiyo wapinzani ni ruksa kutumia...

1) wasiojulikana mitandaoni
2) mabeberu kila inapowezekana
3) propaganda

hadi watu waombe poo!!
 
CHADEMA ni taasisi kubwa zaidi ya ccm hamuiwezi mzee,jiwe mwenyewe analifahamu hilo na karibu mbinu zake zote zimeanza kufeli
 
until and unless na sisi CCM tutakapoacha kutumia mapolisi na vyombo vingine vya dola kuwakandamiza wapinzani, ninaunga mkono kwa 100% vyama vya upinzani vitumie mbinu zote (ziwe chafu au safi) katika kuhakikisha zinapambana nasi hadi kuhakikisha chama chetu kina play fair game. hatuwezi kuwa sisi tunacheza faulo halafu tukifanyiwa faulo tuanze kulialia.

kwa hiyo wapinzani ni ruksa kutumia...

1) wasiojulikana mitandaoni
2) mabeberu kila inapowezekana
3) propaganda

hadi watu waombe poo!!
Kumbuka kutukana viongozi wa serikali ni jinai. Kwa hiyo ipo siku mtalia na kusaga meno.
 
Tofautisha kutukana na kukosoa.
Hyo ni tafsiri tu acha kujitoa ufaham...kumbuka maneno mwanasayansi ya siasa Bentham kwamba tafsir ya kukosolewa kwa kiongoz ni tusi ndo maana wakosoaji wengi wa viongozi huishia gerezan.....A leader as lost friend complement the fact that....a leader is always right
 
Sio kweli, kama ndio hivyo magereza yangejaa hapa Tanzania. Kosoa kwa lugha ya staha sio kutukana.
 
Rudini kwa mganga wenu wa kienyeji awape mbinu mbadala
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
 
Matokeo ya uchaguzi yanayotangazwa na jaji aloyeteuliwa na rais?
Na Rais anasema nikuchague wewe alafu untangaze mpizani mshindi!
Jaji anateuliwa na rais lakini anafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa katina ya JMT
 
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.

Kwanza unawapa uwezo Chadema ambao hawana. Hakuna Chama Tanzania chenye uwezo umkubwa hivyo hasa cha kisiasa. Pili vyama vipo vingi sana Tanzania nashangaa kwanini kila kitu ni Chadema. Tatu wananchi wengi hata kama wanapinga kitu hawana vyama. Msije mkafikiri Watanzania wengi wanaopinga kila jambo wapo kwenye siasa au vyama ni mawazo yao binafsi tu kama Watanzania. Mimi sina Chama kuna wakati nasifia na kuna wakati nakosoa hayo ndiyo maisha. Kuhusu vyama sikilizeni misimamo yako wanayosema kwa vyombo vya habari badala ya kutafuta uchawi mitandaoni
 
Back
Top Bottom