Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #21
Wewe hukuelewa kauli ya Dk Bashiru acha kupayuka.Kama CCM chini ya Magufuli inakubalika kwa wananchi, kwanini CCM haitaki Tume huru ya uchaguzi? Bashiru alishasema mtaendelea kutegemea vyombo vya ulinzi kushinda uchaguzi.
Kama CCM chini ya Magufuli inakubalika kwa wananchi, kwanini CCM haitaki Tume huru ya uchaguzi? Bashiru alishasema mtaendelea kutegemea vyombo vya ulinzi kushinda uchaguzi.
Ccm,Nccr mageuzi na Cuf hawana lugha za matusi.Tuvumiliane tu jamani. Isiwe nyani acheka kundu la mwenziwe. Wote mnatukanana. CCM mnatukana. CHADEMA mnatukana, na ACT mnatukana. Watu husema: "don't throw stones if you are leaving in a glass-house".
Matokeo ya uchaguzi yanayotangazwa na jaji aloyeteuliwa na rais?
until and unless na sisi CCM tutakapoacha kutumia mapolisi na vyombo vingine vya dola kuwakandamiza wapinzani, ninaunga mkono kwa 100% vyama vya upinzani vitumie mbinu zote (ziwe chafu au safi) katika kuhakikisha zinapambana nasi hadi kuhakikisha chama chetu kina play fair game. hatuwezi kuwa sisi tunacheza faulo halafu tukifanyiwa faulo tuanze kulialia.Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
Ndio wale wale ambao mmelaaniwa.Mtoa mada TATIZO lako "umeolewa uzeeni" ndiyo maana akili zinayumbal
CHADEMA ni taasisi kubwa zaidi ya ccm hamuiwezi mzee,jiwe mwenyewe analifahamu hilo na karibu mbinu zake zote zimeanza kufeliUstaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
Kumbuka kutukana viongozi wa serikali ni jinai. Kwa hiyo ipo siku mtalia na kusaga meno.until and unless na sisi CCM tutakapoacha kutumia mapolisi na vyombo vingine vya dola kuwakandamiza wapinzani, ninaunga mkono kwa 100% vyama vya upinzani vitumie mbinu zote (ziwe chafu au safi) katika kuhakikisha zinapambana nasi hadi kuhakikisha chama chetu kina play fair game. hatuwezi kuwa sisi tunacheza faulo halafu tukifanyiwa faulo tuanze kulialia.
kwa hiyo wapinzani ni ruksa kutumia...
1) wasiojulikana mitandaoni
2) mabeberu kila inapowezekana
3) propaganda
hadi watu waombe poo!!
Hyo ni tafsiri tu acha kujitoa ufaham...kumbuka maneno mwanasayansi ya siasa Bentham kwamba tafsir ya kukosolewa kwa kiongoz ni tusi ndo maana wakosoaji wengi wa viongozi huishia gerezan.....A leader as lost friend complement the fact that....a leader is always rightTofautisha kutukana na kukosoa.
Sio kweli, kama ndio hivyo magereza yangejaa hapa Tanzania. Kosoa kwa lugha ya staha sio kutukana.Hyo ni tafsiri tu acha kujitoa ufaham...kumbuka maneno mwanasayansi ya siasa Bentham kwamba tafsir ya kukosolewa kwa kiongoz ni tusi ndo maana wakosoaji wengi wa viongozi huishia gerezan.....A leader as lost friend complement the fact that....a leader is always right
Siasa sio uadui wa kutengeneza vita.Nukuu: vita haichagui silaha. Mwisho wa nukuu.
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya Ccm chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya Ccm chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii. Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
Jaji anateuliwa na rais lakini anafanya kazi kwa uhuru kwa mujibu wa katina ya JMTMatokeo ya uchaguzi yanayotangazwa na jaji aloyeteuliwa na rais?
Na Rais anasema nikuchague wewe alafu untangaze mpizani mshindi!
Hatuamini ulozi. Ndio maana Ccm imetekeleza ilani yake ili kupata imani kwa wananchi.Rudini kwa mganga wenu wa kienyeji awape mbinu mbadala