Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ukweli utajulikana pale bunge litapovunjwa.Utabaki wewe na mmiliki wa Chadema.
Acha kubaki mimi na mmliki wa cdm, hata ningebaki mwenyewe, ukweli wa kuwa chama gani kina mvuto wala hauna mjadala. Mnaweza kutumia madaraka kushurutisha kukubalika kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ila hamuwezi kulazimisha kupata mvuto. Wengi wa wasaka madaraka ni lazima watahamia ccm kwani kuna pesa za bwerere, lakini huo ni kama mvuto anaoupata mtu aliyeuza shamba akaenda mjini kuchukua vimada, akidhani atapendwa kumbe anachunwa.