Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #81
Najua sindano imedunga tako.Si nimeshakuambia ni undondocha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua sindano imedunga tako.Si nimeshakuambia ni undondocha?
Mil 360 ila kuna deni hewa analipwa Mbowe mil 90 kila mwezi. Muulize Mh Waiyara anajua mengi.
Matusi ya nini kamanda. Wewe inawezekana anakutia madole hapo ulipo sasa hivi.Kws
Kwani huyu mbowe ni mume wenu? Kila mtu mboe mboe...
Unajisikiaje kusema mtu amekula ela na wala hakamatwi na cig ametoa hati safi
But pia unataka akale wapi? Coz hadi jela amekaa kwa ajili ya chama so sio mbaya
Hao wengine wanajaza matumbo yao kwa kutumia pesa za walipa Kodi wa Malawi?Sasa kama mnatumia pesa za walipa kodi kwa kujaza matumbo yenu,mnataka tusiseme?
Kwani kuna chama umesikia kinalipa madeni hewa aliyotengeneza mwenyekiti wake zaidi ya Chadema?Hao wengine wanajaza matumbo yao kwa kutumia pesa za walipa Kodi wa Malawi?
Matusi ya nini kamanda. Wewe inawezekana anakutia madole hapo ulipo sasa hivi.
Madole yamekukolea? Kwani mil 90 ni pesa kidogo? Tulia akupige madole vizuri.Sio matusi.... yan chadema yote ww hakuna mtu unamuona zaid ya mbowe.. kwani chadema ina mtu mmoja tu?
Tuache mambo ya kitoto lete fact lete hoja mzito sio unakuja na mambo mepesi tu
Kuna sehemu gani watu hawapigi ela? Nenda kasome ripot ya cig uone watu walivyojenga kisima kwa bilion 5
Ww unapiga kelele za milion 90
Madole yamekukolea? Kwani mil 90 ni pesa kidogo? Tulia akupige madole vizuri.
Zoba wewe unaepigwa madole wakati wajanja wanakula mpunga wa ruzuku kiulaini.Unaweza na kulinganisha bilion kujenga kisima ambacho hakina maji? Kwenye bilions kuna 900 ngapi ? Acha uzoba ww
Zoba wewe unaepigwa madole wakati wajanja wanakula mpunga wa ruzuku kiulaini.
Sina hata account fb. Umekuja kipumbavu ondoka kipumbavuUmezoea Facebook ndio shida hili ni jukwaa la watu waliobalehe
Sina hata account fb. Umekuja kipumbavu ondoka kipumbavuUmezoea Facebook ndio shida hili ni jukwaa la watu waliobalehe
KABISA MKUUHAWA NI TATIZO KWA CCM
Sina hata account fb. Umekuja kipumbavu ondoka kipumbavu
Naamua kucheka maana unashangaza watu. Kwa hiyo hayo matusi hayaoni humu Jf na mitandao kama twitter? Hapa Tanzania kuna dikteta uchawara? Kuna rais anayefanya extrajudicial killings? Mimi sina shida ya umaarugu kama unavyowaza. Mimi ni mkulima ila kwenye ukweli nitatumia haki yangu ya kikatiba kama ibara ya 18 ya katiba ya JMT inavyosema.
Aanzae mmalize. We ulianza matusi baada ya kutumwa.Mwenyewe hapo unajiona mjaaaaaaaanja kutukana
Unapata faida gani kama sio ni utoto wako tu
Aanzae mmalize. We ulianza matusi baada ya kutumwa.
Mkuki kwa nguruwe bwana asikwambie mtu eti ehe.. Kwa hiyo nyie kuwanunua wabunge na makada wao wenye njaa kali ndio ustaarabu? shubaamit!! Naona kama haitoshi mmefika hatua ya kuwapa na ubunge wasiostahili ubunge..Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.
Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.
Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya CCM chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa Serikali.
Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii.
Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.