Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

Sijawahi kusikia neno lolote la tusi toka kwa Zitto lakini kila anapokosoa mnamvua uraia mitandaoni na kashfa za kutunga kutembea na wake za watu
Waendelee kutembea maana ni makubaliano ya wao na wake za watu
 
CHADEMA kuanzia mwaka 2015 ndiyo walianza siasa za matusi na uwongo.

We angalia issue Kama ya Lijualikali, hata "wasemaji" wa chama na wabunge walipayuka Lijualikali kaoa mtoto wa Spika na matusi kibao.

Mwenyewe kawajibu kiustaarabu kukanusha na kuelezea wapi ameoa. Wamebaki kimya wanatumia uongo mwingine na matusi!
 
Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa.

Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri.

Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo mnaweza kuikosoa au kuinanga serikali ya CCM chini ya JPM. Mlichobakiza ni kuweka watu kwenye mitandao mbali mbali kama Twitter ili wawatukane na kuwakashifu viongozi wa Serikali.

Tunafahamu mnajua chama chenu kimefiliska kisiasa na sasa hakina muelekeo. Mlichobakiza ni kutumia wahuni kutukana na kutunga uongo kwenye mitandao ya kijamii.

Hili sio jambo jema hata kidogo na ni uthibitisho kuwa chama chenu ni chama cha wapenda vurugu na matusi. Na October ndio mwisho wa uhai wa chama chenu.
Tangu ujifungue una maneno ya kijinga
 
Hiyo trillion 1.5 waliipiga Chadema?
Waziri aliyetumbuliwa kwa ufisadi alikuwa wa Chadema?
Suala la Tril 1.5 lilipatiwa majibu bungeni na PAC. Sema wewe haufuatilii masuala ya kitaifa. Unajibu hoja kwa ushabiki tu
 
Kwani kuna chama umesikia kinalipa madeni hewa aliyotengeneza mwenyekiti wake zaidi ya Chadema?
Kwani wewe umesikia Chadema wana hati chafu Kama ccm? Kamuulize CAG atakwambia ni chama gani kinapiga pesa,usisikilize propaganda za yule waziri mtafuta fursa kupitia jina la Mbowe
 
Back
Top Bottom