Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Wewe hujitambui na hujui lolote. Kusimamia ukweli ndio kosa?Wewe sio mwanachama wa Chadema and we know you kutokana na comments za nyuma
Umejenga hii ID kuleta comments za pessimissm kujenga taswira Chadema is dying,ambapo si kweli.
Nikuchane tu kidogo:
Serikali ya CCM imeacha kazi yake ya siasa na kuikabidhi kwa jeshi na mahakama iifanyie hiyo kazi
Hivyo hii serikali ime politicise jeshi na mahakama yenyewe,na consequences zake ndio hizi itazipata yenyewe
Mahakama imekua uwanja wa siasa na jeshi limegeuzwa chama cha siasa,therefore chochote kitakachofanywa na hivi vyombo yote ni politically charged.
Hili kosa ni la serikali ya CCCM yenyewe,mahakama na jeshi havitakaa viaminike
Na Chadema kama kawaida inapita mule mule ku amplify politics ndani ya hivi vyombo maana ni njia ya kipumbavu mmeamua kutumia
CCM wamelala majumbani wameacha kazi ya siasa wafanyiwe na jeshi na mahakama
Hii ndio effect,na infact loser ni serikali ya CCM na mama na group lake la clowns....
CCM kazi yake ni siasa,Chadema kazi yake ni siasa,let these units do their work.
Mahakama sio chama cha siasa,jeshi sio chama cha siasa,sasa hivi vyombo vimegeuzwa vyama vya siasa kwa lazima kufanya siasa za CCM badala ya CCM kuifanya hiyo kazi
Kinachosubiriwa ni effects mbaya sana zitafuata na nchi haitakua stable kabisa
Hivi vyombo bahati mbaya havijui siasa,ila vimelazimishwa,jeshi la polisi limeshachoka kuifanyia CCM siasa,clip ya OCD ina prove hili..Hawa askari wamechoka kufanya kazi ambayo sio yao,hawajasomea,kila siku wanatukanwa na kudharaulika na wnanchi
Mahakama nayo inachoka kuifanyia siasa CCM,wanadharauliwa na wananchi kila mahali,hawana raha
Ndio shida serikali ya huyu mama inachofanya of which is nonsense
Siasa achia vyama vipambane maana ndio kazi yao naturally....mahakama na jeshi vimeshaharibiwa,na hawa watu hawana raha,hawana raha kulazimishwa kufanya kazi ambayo sio yao
We are in deep ship,mama atavuna alichopanda kwasababu hatumii akili sawa sawa..Ujinga una gharama kubwa na atalipa,hakuna option.
lakini unaposema hivyo bado siyo sahihi maana kosa lipo (linahisiwa maana halijathibitika) sasa kosala hati inakuwaje iondoe shitaka lote? inamaana alisingiziwa?hata kama alisingiziwa inabidi kesi iendelee ili ionekane kuwa alisingiziwa hapo suala ni kuendelea na kesi hati inarekebishwa ili kila mtu baada ya hukumu asitoke na lawamaHoja ni kwamba baada ya kusema hati ya mashtaka ina makosa ikarekebishwe maana yake tangia hapo hakuna mashtaka maana mashtaka yanaanzishwa na hati ya mashtaka. Kusema hati ina makosa na usimwachie si sawa.
Jaji alipaswa kutimiza wajibu wake kisheria, hayo mengine ya kukamatwa tena si yake.
hiyo ni minor sana unafikiri wazungu hawajui nchi hatarishi? unaweza kulinganisha somalia na tanzania? wana akili kuzidi unavyofikiriMtulize munkari na nani wewe mataga? Mnahangaika kutangaza utalii huku mnaitangazia dunia kuwa Tanzania kuna Magaidi si wendawazimu huu. Na hii itawaadhiri sana.
Katika muda ambao charge sheet inaenda kurekebishwa, mshtakiwa anakuwa wapi?Kama hati ina makosa inafanyiwa marekebisho. Amendment of chargesheet inaruhusiwa kisheria.
mahabusuKatika muda ambao charge sheet inaenda kurekebishwa, mshtakiwa anakuwa wapi?
Custody ya polisi au magereza, dependsKatika muda ambao charge sheet inaenda kurekebishwa, mshtakiwa anakuwa wapi?
Mwenyezimungu ndiye mjuzi.Inaonekana ushahidi upo wazi na mbowe anaenda kuning'inizwa!
Watulie mahakama ifanye kazi
Pumbavu kabisa,usomea wapi sheria? Nina LLM hakuna sheria ya namna hiyo.Kabla hujakoment muwe mnaangalia mnaandika nini na nani anasoma.Shilingi 7000/- unayo lipwa isikufanye kuwa mjinga ipo siku haya utayalipia.Kama hati ina makosa inafanyiwa marekebisho. Amendment of chargesheet inaruhusiwa kisheria.
Pumbavu kabisa,usomea wapi sheria? Nina LLM hakuna sheria ya namna hiyo.Kabla hujakoment muwe mnaangalia mnaandika nini na nani anasoma.Shilingi 7000/- unayo lipwa isikufanye kuwa mjinga ipo siku haya utayalipia.Kama hati ina makosa inafanyiwa marekebisho. Amendment of chargesheet inaruhusiwa kisheria.
Ukweli upi wewe mchumia tumbo?Akili yako iko makalioni siyo kichwani.Wewe hujitambui na hujui lolote. Kusimamia ukweli ndio kosa?
Sababu za kubadilishwa sio hizo hukuwepo mahakamani, yeye amesema sababu ni taarifa za mitandaoni zinasema ametumwa kumfunga mboweWewe .mwenyewe jiulize, imekuwaje Jaji Elinaza alitamka waziwazi kuwa Hati ya mashitaka iliyoletwa na upande wa mashitaka ilikosewa Sana, sasa badala ya kuitupilia mbali kesi hiyo, eti yeye anasema kuwa ni LAZIMA kesi hiyo iendelee, bali anawaambia upande wa prosecutors, eti wakairekebishe!
Wewe uliwahi kuona wapi maamuzi ya aina hiyo yanafanywa, tena na Jaji wa Mahakama Kuu?
Hivi hapo kwa Mheshimiwa Mbowe kutaka kubadilishiwa Jaji, baada ya kuona dhahiri kuwa Jaji huo anafanya upendeleo wa dhahiri, ndiyo mnaita kuwa ni woga wa upande wa utetezi?
πππPumbavu kabisa,usomea wapi sheria? Nina LLM hakuna sheria ya namna hiyo.Kabla hujakoment muwe mnaangalia mnaandika nini na nani anasoma.Shilingi 7000/- unayo lipwa isikufanye kuwa mjinga ipo siku haya utayalipia.
Ukweli upi wewe mchumia tumbo?Akili yako iko makalioni siyo kichwani.
hiyo nayo inaweza ikazuwa kesi ndani ya kesi kuongea uongo mahakamaniSababu za kubadilishwa sio hizo hukuwepo mahakamani, yeye amesema sababu ni taarifa za mitandaoni zinasema ametumwa kumfunga mbowe
Siyo swala la kucheka mnachuma laana za familia zenu na ukoo bila kujua .Unatetea dhambi wewe huna tofauti wakala wa shetaniπππ
Leo umeongea, siku hizi unaongea ya maana sana ndugu yangu- endelea hivyo bila kuegema sana upande ule. kuwa wa haki na kweli tupu... tunapita tu duniani humu... haina haja ya kukandamizana sana duniani humu ili hali kaburi pia latusubiria kutukandamiza huko chini...Ubarikiwe na uzidishiwe kwa kuwa Mkweli, wa haki na mwenye upeo unaotakikana... Tulisadie taifa sote bila itikadi...Tatizo siyo Jaji bali mwenendo!
Nakuunga mkono.Majaji ni matawi CCM ,mahakama ni matawi ya CCM haki haipo .Bila damu kumwagika
Tangu lini mahakama za TZ zinetenda haki?Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya?
Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki.
Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae.
Tutulize munkari tusibiri kuona mahakama ikienda haki tuache lawama za mapema.
Amina!Leo umeongea, siku hizi unaongea ya maana sana ndugu yangu- endelea hivyo bila kuegema sana upande ule. kuwa wa haki na kweli tupu... tunapita tu duniani humu... haina haja ya kukandamizana sana duniani humu ili hali kaburi pia latusubiria kutukandamiza huko chini...Ubarikiwe na uzidishiwe kwa kuwa Mkweli, wa haki na mwenye upeo unaotakikana... Tulisadie taifa sote bila itikadi...
anajua alichokifanya ashaanza kuogopa mapemaKama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya?
Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki.
Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae.
Tutulize munkari tusibiri kuona mahakama ikienda haki tuache lawama za mapema.
Nenda kwenye pointi acha kujitoa ufahamu kisa shilingi 7000/-Jaji aliyekuwepo alipaswa kufanya nini baada ya hati ya mashitaka kuonekana kuwa na kasoro kisheria.Majaji ni matawi CCM ,mahakama ni matawi ya CCM haki haipo .Bila damu kumwagika