Wewe sio mwanachama wa Chadema and we know you kutokana na comments za nyuma
Umejenga hii ID kuleta comments za pessimissm kujenga taswira Chadema is dying,ambapo si kweli.
Nikuchane tu kidogo:
Serikali ya CCM imeacha kazi yake ya siasa na kuikabidhi kwa jeshi na mahakama iifanyie hiyo kazi
Hivyo hii serikali ime politicise jeshi na mahakama yenyewe,na consequences zake ndio hizi itazipata yenyewe
Mahakama imekua uwanja wa siasa na jeshi limegeuzwa chama cha siasa,therefore chochote kitakachofanywa na hivi vyombo yote ni politically charged.
Hili kosa ni la serikali ya CCCM yenyewe,mahakama na jeshi havitakaa viaminike
Na Chadema kama kawaida inapita mule mule ku amplify politics ndani ya hivi vyombo maana ni njia ya kipumbavu mmeamua kutumia
CCM wamelala majumbani wameacha kazi ya siasa wafanyiwe na jeshi na mahakama
Hii ndio effect,na infact loser ni serikali ya CCM na mama na group lake la clowns....
CCM kazi yake ni siasa,Chadema kazi yake ni siasa,let these units do their work.
Mahakama sio chama cha siasa,jeshi sio chama cha siasa,sasa hivi vyombo vimegeuzwa vyama vya siasa kwa lazima kufanya siasa za CCM badala ya CCM kuifanya hiyo kazi
Kinachosubiriwa ni effects mbaya sana zitafuata na nchi haitakua stable kabisa
Hivi vyombo bahati mbaya havijui siasa,ila vimelazimishwa,jeshi la polisi limeshachoka kuifanyia CCM siasa,clip ya OCD ina prove hili..Hawa askari wamechoka kufanya kazi ambayo sio yao,hawajasomea,kila siku wanatukanwa na kudharaulika na wnanchi
Mahakama nayo inachoka kuifanyia siasa CCM,wanadharauliwa na wananchi kila mahali,hawana raha
Ndio shida serikali ya huyu mama inachofanya of which is nonsense
Siasa achia vyama vipambane maana ndio kazi yao naturally....mahakama na jeshi vimeshaharibiwa,na hawa watu hawana raha,hawana raha kulazimishwa kufanya kazi ambayo sio yao
We are in deep ship,mama atavuna alichopanda kwasababu hatumii akili sawa sawa..Ujinga una gharama kubwa na atalipa,hakuna option.