Pre GE2025 CHADEMA kuwasilisha maoni ndani ya Kamati ya Bunge kuhusu miswada ya Sheria za Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM unaijua au unaisikia? DP World ulikuwa hujazaliwa?
Naisikia kwa kweli siijui ila usijejiaminisha kwamba kila kitu wapinzani walichosema hakikufanyiwa kazi. Ni bora walipiga kelele. Kazi yao na wote kwenye DP World si bure hata wenyewe wanajua.
 
Umeuona mkataba wa DP World zaidi ya kuusikia?
 
Back
Top Bottom