Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
NAJUA ANA HAKI YA KUTIA NIA NA NDIYO DEMOKRASIA, LAKINI KWA SASA CHADEMA NI KAMA IKO VITANI KWA SHERIA HIZI ZA UCHAGUZI, HALAFU UNALETA MTAFARUKU KWENYE VITA
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa