Yapo mengi, mengi sana. Najua humtaki Mbowe, tafadhali Ngoja kwanza tupate Katiba ambayo Rais hatakuwa na mamlaka ya kumwamlisha Msajiri wa vyama vya siasa, andika barua ya kuifuta chadema, watishie...polisi poteza yule. Tukifika hapo, then all is good for elders to retire.
Usituingize mkenge wa kuinufaisha CCM.