- Thread starter
- #21
Sasa inabidi ujulikane wewe ni nani๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Cecil Mwambe Ndio aligombea Uenyekiti na Mbowe
Alishinda LAKINI kura zake wakampa Mbowe ๐ผ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa inabidi ujulikane wewe ni nani๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Cecil Mwambe Ndio aligombea Uenyekiti na Mbowe
Alishinda LAKINI kura zake wakampa Mbowe ๐ผ
Yapo mengi, mengi sana. Najua humtaki Mbowe, tafadhali Ngoja kwanza tupate Katiba ambayo Rais hatakuwa na mamlaka ya kumwamlisha Msajiri wa vyama vya siasa, andika barua ya kuifuta chadema, watishie...polisi poteza yule. Tukifika hapo, then all is good for elders to retire.Kama madhaifu ya ccm ndiyo kipimo cha vyama mbadala (vya upinzani), basi vinapoteza uhalali na sababu ya uwepo wake.
Tulitegemea chadema ijipambanue kwa mazuri mengi yanayokosekana ccm.
Vipi akitwaliwa na Mungu baba wa mbinguni, ndiyo itakuwa mwisho wa chadema?Najua humtaki Mbowe,
You bet !Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopร . Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji ( nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti??? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo?
Chukueni tahadhali kubwa sana katika kufanya maamuzi.
Umepiga kwenye mshono !Yapo mengi, mengi sana. Najua humtaki Mbowe, tafadhali Ngoja kwanza tupate Katiba ambayo Rais hatakuwa na mamlaka ya kumwamlisha Msajiri wa vyama vya siasa, andika barua ya kuifuta chadema, watishie...polisi poteza yule. Tukifika hapo, then all is good for elders to retire.
Usituingize mkenge wa kuinufaisha CCM.
Ikitokea hivyo itakuwa imepangwa iwe hivyo na Muumba !Vipi akitwaliwa na Mungu baba wa mbinguni, ndiyo itakuwa mwisho wa chadema?
Kibaraka maza yuko bize kuuza rasilimali za tanganyika kwa wajomba zake waarabukwann macho ya kibaraka yako wap mpaka analia kuna rushwa kwenye uchaguzi huo wa Chadema?๐