CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Salaam wakuu,

Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020.

Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya CHADEMA wanapaswa kuukwepa haraka iwezekanavyo, nchi ipo kwenye msiba wa kitaifa wa Rais mstaafu, tupo kwenye siku saba za maombolezo, nchi jirani mfano kwenye bendera zinapepea nusu mlingoti, viongozi wa mataifa mbalimbali watakuja hapa kuomboleza pamoja nasi n.k

Sasa kwa hali hii si sahihi kwa CHADEMA kufanya hayo mapokezi; mtakuwa mmefanya Jambo la kijinga na wengi watawadharau kabisa na mtapoteza Imani kwa watu wengi.

Kwenye sakata la kuondoka bungeni kujiweka karantini wakati wa kitisho cha COVID-19 tuliwashauri muachane na mpango ule hamkusikia na hatimae mkajitia aibu kubwa na kudharaulika kwa kiasi kikubwa sana, safari hii pia tunawashauri tena achaneni na huu mpango sio salama kwa ustawi wenu kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mtapoteza wapiga kura wengi sana kwa sababu hili tukio.

Licha ya hayo mtasababisha mgawanyiko ndani ya Chama kwa wale ambao hawata kubaliana nanyi kuto kuhudhuria msibani badala yake kwenda kwenye mapokezi, ikiwa ubabe utatumika kwenye hili basi hakika Kuna watu watenda kuunga juhudi.

Shitukeni CHADEMA, achaneni na huu mpango mtawapa watu mtaji wa kisiasa bure. Tafakarini upya mkiwa kama CHAMA makini.

Natanguliza hongera zangu kwenu kama mtakuwa wasikivu.
 
Kwenye sakata la kuondoka bungeni kujiweka karantini wakati wa kitisho cha Covid-19 tuliwashauri muachane na mpango ule hamkusikia na hatimae mkajitia aibu kubwa na kudharaulika kwa kiasi kikubwa sana, safari hii pia tunawashauri tena achaneni na huu mpango sio salama kwa ustawi wenu kiasa kuelekea uchaguzi mkuu mtapoteza wapiga kura wengi sana kwa sababu hili tukio.

Licha ya hayo mtasababisha mgawanyiko ndani ya Chama kwa wale ambao hawata kubaliana nanyi kuto kuhudhuria msibani badala yake kwenda kwenye mapokezi, ikiwa ubabe utatumika kwenye hili basi hakika Kuna watu watenda kuunga juhudi.

Shitukeni CHADEMA, achaneni na huu mpango mtawapa watu mtaji wa kisiasa bure. Tafakarini upya mkiwa kama CHAMA makini.

Natanguliza hongera zangu kwenu kama mtakuwa wasikivu.
Tutampokea halafu tunaenda msibani. Shida iko wapi? Maisha kazima yaendelee!
 
Salaam wakuu,

Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020.

Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya CHADEMA wanapaswa kuukwepa haraka iwezekanavyo, nchi ipo kwenye msiba wa kitaifa wa Rais mstaafu, tupo kwenye siku saba za maombolezo, nchi jirani mfano kwenye bendera zinapepea nusu mlingoti, viongozi wa mataifa mbalimbali watakuja hapa kuomboleza pamoja nasi n.k

Sasa kwa hali hii si sahihi kwa CHADEMA kufanya hayo mapokezi; mtakuwa mmefanya Jambo la kijinga na wengi watawadharau kabisa na mtapoteza Imani kwa watu wengi.

Kwenye sakata la kuondoka bungeni kujiweka karantini wakati wa kitisho cha Covid-19 tuliwashauri muachane na mpango ule hamkusikia na hatimae mkajitia aibu kubwa na kudharaulika kwa kiasi kikubwa sana, safari hii pia tunawashauri tena achaneni na huu mpango sio salama kwa ustawi wenu kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mtapoteza wapiga kura wengi sana kwa sababu hili tukio.

Licha ya hayo mtasababisha mgawanyiko ndani ya Chama kwa wale ambao hawata kubaliana nanyi kuto kuhudhuria msibani badala yake kwenda kwenye mapokezi, ikiwa ubabe utatumika kwenye hili basi hakika Kuna watu watenda kuunga juhudi.

Shitukeni CHADEMA, achaneni na huu mpango mtawapa watu mtaji wa kisiasa bure. Tafakarini upya mkiwa kama CHAMA makini.

Natanguliza hongera zangu kwenu kama mtakuwa wasikivu.
Lumumba hamchoki tu na thread zenu uchwara??? Mshaambiwa tunampokea shujaa wetu huku tukimuomboleza mzee Mkapa. Shida iko wapi??
 
Sioni kuna tatizo gani kwa cdm kwenda kumpokea Lisu. Kwanza iko wazi kuwa marehemu alikuwa ni kada wa ccm aliyekuwa na chuki ya wazi na upinzani hasa cdm. Ni kweli alikuwa rais wetu, lakini hakuwahi kuishi kama rais mstaafu, bali aliishi zaidi kama rais mstaafu wa ccm. Alijichukulia kuwa mwanaccm zaidi, kuliko kiongozi wa wote. Na yeye alikuwa ni sehemu ya chuki za kiitikadi ndani ya nchi hii. Hilo wala sioni shida yoyote kulieleza.

Watakachofanya cdm ni kumpokea mpendwa wao kwa amani aliye hai, baada ya kunusurika kufa, huku wanaccm wakiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na kada wao aliyewahi kuwa rais wa nchi hii. Msitake kulazimisha hata watu walioumizwa na siasa za marehemu, kuwa sehemu ya majonzi yenu.
 
Ndio ni msiba wetu, wewe Mrundi haukuhusu kabisa na yawekana hapo ulipo upo kwenye mfungo wa maombi ya siku saba ukiombea afe mwingine kabla hizi siku saba za maombolezo hazijaisha.

Mkapa alikuwa ni mwanaccm aliyekuwa rais wa nchi hii, na aliyekuwa na chuki ya wazi kwa wapinzani. Hakuna namna mtu aliyekuwa na chuki ya wazi kwa wapinzani, azuie mpinzani aliye hai kupokelewa kwa amani eti kisa kafariki. Alipokuwa hai hakuona umuhimu wa kuwa kiongozi wa wote, kwanini amefariki mlazimishe tuone kuwa ni msiba wa wote?
 
Lumumba hamchoki tu na thread zenu uchwara??? Mshaambiwa tunampokea shujaa wetu huku tukimuomboleza mzee Mkapa. Shida iko wapi??
Ni kawaida yenu kuingizwa chaka kwenye mambo ya ovyo bila kutafakari mara mbili.
 
Acha kukuza mambo!

Yaani watu waache kuendelea na ratiba zao kisa kuna msiba!

Hao CCM wanaacha kuendelea na ratiba zao pale CHADEMA wanavyokuwa kwenye majanga?

Btw, mbona hawakusitisha mchakato wa kura za maoni kwa ajili ya udiwani?
Diwani.png
 
Wakikuelewa wale wa mitandaoni, katambikie
Waache wawape watu chakusema, yani we bendera zinapepea nusu mlingoti hadi nchi jirani, watu wanaacha shughuli zao za kitaifa kwenye nchi zao huko wanakuja hapa nchini alafu eti wewe mtanzania unaenda kufanya maandamano ya mapokezi.
 
Salaam wakuu,

Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020.

Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya CHADEMA wanapaswa kuukwepa haraka iwezekanavyo, nchi ipo kwenye msiba wa kitaifa wa Rais mstaafu, tupo kwenye siku saba za maombolezo, nchi jirani mfano kwenye bendera zinapepea nusu mlingoti, viongozi wa mataifa mbalimbali watakuja hapa kuomboleza pamoja nasi n.k

Sasa kwa hali hii si sahihi kwa CHADEMA kufanya hayo mapokezi; mtakuwa mmefanya Jambo la kijinga na wengi watawadharau kabisa na mtapoteza Imani kwa watu wengi.

Kwenye sakata la kuondoka bungeni kujiweka karantini wakati wa kitisho cha Covid-19 tuliwashauri muachane na mpango ule hamkusikia na hatimae mkajitia aibu kubwa na kudharaulika kwa kiasi kikubwa sana, safari hii pia tunawashauri tena achaneni na huu mpango sio salama kwa ustawi wenu kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mtapoteza wapiga kura wengi sana kwa sababu hili tukio.

Licha ya hayo mtasababisha mgawanyiko ndani ya Chama kwa wale ambao hawata kubaliana nanyi kuto kuhudhuria msibani badala yake kwenda kwenye mapokezi, ikiwa ubabe utatumika kwenye hili basi hakika Kuna watu watenda kuunga juhudi.

Shitukeni CHADEMA, achaneni na huu mpango mtawapa watu mtaji wa kisiasa bure. Tafakarini upya mkiwa kama CHAMA makini.

Natanguliza hongera zangu kwenu kama mtakuwa wasikivu.
Nchi ipo kwenye maombelezo,itakuwa si vyema kuwa na aina au dalili yoyote ya shamra shamra wakati wa ujio wa Lissu.Chadema wawe makini.
 
Salaam wakuu,

Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020.

Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya CHADEMA wanapaswa kuukwepa haraka iwezekanavyo, nchi ipo kwenye msiba wa kitaifa wa Rais mstaafu, tupo kwenye siku saba za maombolezo, nchi jirani mfano kwenye bendera zinapepea nusu mlingoti, viongozi wa mataifa mbalimbali watakuja hapa kuomboleza pamoja nasi n.k

Sasa kwa hali hii si sahihi kwa CHADEMA kufanya hayo mapokezi; mtakuwa mmefanya Jambo la kijinga na wengi watawadharau kabisa na mtapoteza Imani kwa watu wengi.

Kwenye sakata la kuondoka bungeni kujiweka karantini wakati wa kitisho cha COVID-19 tuliwashauri muachane na mpango ule hamkusikia na hatimae mkajitia aibu kubwa na kudharaulika kwa kiasi kikubwa sana, safari hii pia tunawashauri tena achaneni na huu mpango sio salama kwa ustawi wenu kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu mtapoteza wapiga kura wengi sana kwa sababu hili tukio.

Licha ya hayo mtasababisha mgawanyiko ndani ya Chama kwa wale ambao hawata kubaliana nanyi kuto kuhudhuria msibani badala yake kwenda kwenye mapokezi, ikiwa ubabe utatumika kwenye hili basi hakika Kuna watu watenda kuunga juhudi.

Shitukeni CHADEMA, achaneni na huu mpango mtawapa watu mtaji wa kisiasa bure. Tafakarini upya mkiwa kama CHAMA makini.

Natanguliza hongera zangu kwenu kama mtakuwa wasikivu.
Kulikuwa na misiba Mingi Sana Pemba 2000/2001. Malofa na wapumbavu wa miaka hiyo walikufa wengine, wengine wakabaki wajane na mayatima! Nipo na baadhi yao hapa unguja tunaomboleza kifo Cha Ben kwa kunywa Serengeti light na k vant.

Jumatatu lazima mkombozi akapokelewe, tukimaliza tutakuja msibani kuwapa support
 
Waache wawape watu chakusema, yani we bendera zinapepea nusu mlingoti hadi nchi jirani, watu wanaacha shughuli zao za kitaifa kwenye nchi zao huko wanakuja hapa nchini alafu eti wewe mtanzania unaenda kufanya maandamano ya mapokezi.

Huko nchi jirani hawajui alichokuwa anafanya huku ndani, hivyo ni haki yao kupeperusha bendera nusu mlingoti. Anayevaa kiatu ndio anajua kinapobania. Lisu atapokelewa kwa amani kabisa, na wala hakuna tatizo lolote. Watu wakiwa wengi ni vizuri, wakiwa wachache ni sawa pia.

Cha muhimu wampokee kwa ustaarabu tu, wakijua kuna msiba wa kada wa ccm aliyewahi kuwa rais wa nchi hii. Lakini hakuwa na faida yoyote kwa cdm zaidi ya kuhakikisha wananyanyaswa ndani ya nchi hii.
 
Waache wawape watu chakusema, yani we bendera zinapepea nusu mlingoti hadi nchi jirani, watu wanaacha shughuli zao za kitaifa kwenye nchi zao huko wanakuja hapa nchini alafu eti wewe mtanzania unaenda kufanya maandamano ya mapokezi.
Shughuli gani watu wameacha? Mbona mnakuza mambo sana? Kwanza aliwaambia nani kuna maandamano? Yaelekea hamjaua siku nyingi majini yenu yanahitaji damu. Kama wanaenda kumpokea kiongozi wao inazuai nini wengine kuomboleza? Maccm mnakera na hizi nyuzi zenu za maandamano ambayo hayapo. Kwa nini mnamuogopa hivi Lissu?
 
Waache wawape watu chakusema, yani we bendera zinapepea nusu mlingoti hadi nchi jirani, watu wanaacha shughuli zao za kitaifa kwenye nchi zao huko wanakuja hapa nchini alafu eti wewe mtanzania unaenda kufanya maandamano ya mapokezi.
Kaka tukiachana na ushabiki wa kisiasa kiukweli kabisa nikama tunafanya dhihaka hakuna maombolezo bali tunaigiza kuomboleza kwa kupandisha bendera nusu mlingoti.
Nakumbuka alipo Fariki mwalimu Nyerere au Dr Omari Ally Juma by then marehemu ndiye alikuwa Rais ilikuwa redio zote na television vipindi vyote kasoro Taarifa ya habaritu lakini vipindi vingine vyotee ilikiwa ni nyimbo na matangazo ya kubukidhi za marehem. Kwenye maeneo ya starehe kulikuwa hakuna mbwembwe za mabendi sijui mamiziki makubwaa nooo Ila vinywaji kama kawaida watu walikunywa. Je Leo hii ikohivyoo?

Kuhusu huyo Lisu alishasema alishatangaza Tarehe hadi muda atakaofika na uwanja gani kabla hata ya huu msiba kutokea. Hapa hatutakiwi kuongelea zuio au kutokushiriki waliojiandaa kumpokea acha wakampokee kwani ni hakiyao. Hii nisawa na kwamba nyumbani kwenu kunaharusi watu washaenda kanisani na misosi ishapikwa shughuli inafanyikia ukumbini gafla kwa jirani unatokea msiba mkubwa je Mtaahirisha Sherehe yenu au mtaenda then mrudi kushiki Msibani?

Haya mambo yapo sana kikubwa nikusaidiatu kuwapa mwongozo ninamna gani wampokee bila kuharibu shughuli ma maombolezo ya Ndugu yetu Rais wetu mpendwa. Na hapa atakae haribu niyulee atakae leta habari za kuwazuia na kutumia manguvu yasiyo kuwa na sababu zozote za Lazima.

Tusiwe wabinafsi na kuwaona wengine hawastahili hawana haki na Nchi yao. Sisi sote ni watanzania na Sote tupo kwenye Maombolezo.
 
Back
Top Bottom