Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020