This is good, kumbe 2020 wananchi waliwapuuza?, wenyewe wanajijua wanapendwa sana na uchaguzi wa 2020 TL ndie alishinda lakini wakaibiwa kura zao!
Walikuwa ni pinga pinga!. Hili nilishauri
Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
Kwa vile sio kweli Bandari inauzwa...
Mkuu Idu,
Idugunde , hakuna ubaya wowote kuwa na imani na matumaini, ya ushindi, hopping for the best, ila siasa sio imani na matumaini, siasa ni sayasi ya siasa, Political Science inayafuata scientific procedure za postulates and proofs, hivyo zinataka matendo, mipango mkakati na kujadili utekelezaji, vitu ambavyo Chadema hawana any think tanks, wanategemea siasa za matukio za nyomi!.
Hizo nyomi kwenye mikutano ya Chadema, zingekuwa zina maana kama hao watu wangejiandikisha na kupiga kura!. Angalia
Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu
Mimi mwenyewe kuna kitu kulishuhudia
Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda! sikuamini matokea na nikaongea wazi
Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
mwisho wa siku ndio ikawa vile!
P