CHADEMA kwa sasa ikishiriki chaguzi yoyote hapa nchini inaweza kupata ushindi mkubwa tofauti na Mwaka 2020 ilipokuwa imepuuzwa na wananchi

Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.

Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.

Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.

Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020

Akili za kuvukia barabara hizi
 
This is good, kumbe 2020 wananchi waliwapuuza?, wenyewe wanajijua wanapendwa sana na uchaguzi wa 2020 TL ndie alishinda lakini wakaibiwa kura zao!

Walikuwa ni pinga pinga!. Hili nilishauri Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe

Kwa vile sio kweli Bandari inauzwa...

Mkuu Idu, Idugunde , hakuna ubaya wowote kuwa na imani na matumaini, ya ushindi, hopping for the best, ila siasa sio imani na matumaini, siasa ni sayasi ya siasa, Political Science inayafuata scientific procedure za postulates and proofs, hivyo zinataka matendo, mipango mkakati na kujadili utekelezaji, vitu ambavyo Chadema hawana any think tanks, wanategemea siasa za matukio za nyomi!.

Hizo nyomi kwenye mikutano ya Chadema, zingekuwa zina maana kama hao watu wangejiandikisha na kupiga kura!. Angalia Kama kipimo cha ushindi ni idadi ya watu, Lowassa ndiye rais wetu

Mimi mwenyewe kuna kitu kulishuhudia Kwa Hali Niliyoishuhudia Leo Old Bagamoyo Rd: There is No Way CCM Inaweza Kushinda! sikuamini matokea na nikaongea wazi Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!
mwisho wa siku ndio ikawa vile!
P
@Pascal Mayalla . Wewe ni msomi japo si sana. Kushabikia upumbavu kunanikosesha imani na aina ya wasomi wa nchi hii. Hivi kazi wanayofanya Cdm kwenye mazingira haya Tanzania ni ya kubeza na katiba hii mbovu ya chama kimoja ?!. Na mnaobeza mmefanya nini kukwamua mkwamo huu wa makusudi. ?!

Ccm inayotamba wangekuwa wanajiamini hivyo. Basi mazingira ya ushindani yangekuwa sawa na vyama vingine. Lakini sasa tunachokiona ni kung'ang'ania kuendelea kubebwa na vyombo vya dola na vya maamuzi.
 
Mkuu Odhiambo cairo , hakuna kitu kizuri kama kuwa a realist, na hakuna kitu kibaya kama kuwa na matumaini hewa!. Chadema peke yao hawawezi!. Tumejitolea kuwasaidia lakini hawasaidiki!. Ile 2015 Ikulu ilikuwa yao kabisa kama wangefuata ushauri huu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

P
 
Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.

Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.

Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.

Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Chadema haijawahi kupuuzwa na wananchi tena kipindi kile ndo ilishinda viti vyote ila jpm akatangaza watu ambao hawakushinda kinguvu mfano gwajima, mkumbo nk. Na ukumbuke kipindi kile chadema ilizuiwa kufanya siasa. Ccm ndo iliruhusiwa kufanya siasa tu. Kwa Sasa chadema imeruhusiwa kufanya siasa ndo mana unaiona hivyo. Viva Samia umeweka fair completion tofauti na yule shetani aliyetaka aonekane peke yake na kuaminisha uma eti anapendwa wakati yeye ndo Yuko uwanjani peke yake
 
Jifunze kuongelea uhalisia
 
Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.

Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.

Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.

Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Chochote watakachopata ni sababu Samia karuhusu wapate, ama anaweza kuwafanyia uhuni kama wa Magufuli na hakuwa watakachofanya
 
Akili matope
Una uhakika chadema haikushinda hata diwani mmoja 2020 kwa sababu haikuwa na sera za kueleweka kwa wananchi?

Kwamba ccm walikuwa bora sana kiasi cha kushinda kila mahali kama ilivyokuwa?

Nakuhakikishia ccm itashinda zaidi ya 2020
Otherwise chadema washughulikie mambo yaliyoifanya ccm kushinda kwa namna ile
Hakuna kingine
Wewe unao?
 
Back
Top Bottom