Bila Katiba mpya hapa nchini, CCM itaendelea kutangazwa na Tume yao ya uchaguzi kuwa imeshinda Kwa kishindo hadi mwisho wa dunia hii, hata kama haijashinda!🙆Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Maana kila kitu walipinga kila kitu. Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Sijui umetoka chato, au umetoka kula makande ya wapiWakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Maana kila kitu walipinga kila kitu. Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Usijitie upofu.Akili matope
Una uhakika chadema haikushinda hata diwani mmoja 2020 kwa sababu haikuwa na sera za kueleweka kwa wananchi?
Kwamba ccm walikuwa bora sana kiasi cha kushinda kila mahali kama ilivyokuwa?
Nakuhakikishia ccm itashinda zaidi ya 2020
Otherwise chadema washughulikie mambo yaliyoifanya ccm kushinda kwa namna ile
Hakuna kingine
Mtu yoyote anayetumia kigezo cha uchaguzi mkuu wa 2020 kama kigezo cha kukubalika kwa CCM na kukataliwa kwa Chadema huyo ni mpumbavu apuuzwe na wote wenye akili timamuWakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Kama hujawahi fika umemkosea sana mwendazakeNipo Igunga.Chato sijawahi fika
This is good, kumbe 2020 wananchi waliwapuuza?, wenyewe wanajijua wanapendwa sana na uchaguzi wa 2020 TL ndie alishinda lakini wakaibiwa kura zao!Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Walikuwa ni pinga pinga!. Hili nilishauri Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotosheMaana kila kitu walipinga .
Kwa vile sio kweli Bandari inauzwa...Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Mkuu Idu, Idugunde , hakuna ubaya wowote kuwa na imani na matumaini, ya ushindi, hopping for the best, ila siasa sio imani na matumaini, siasa ni sayasi ya siasa, Political Science inayafuata scientific procedure za postulates and proofs, hivyo zinataka matendo, mipango mkakati na kujadili utekelezaji, vitu ambavyo Chadema hawana any think tanks, wanategemea siasa za matukio za nyomi!.Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.
Maana kila kitu walipinga . Na kauli mbiu ikawa hawataki Megastructures bali wanataka maendeleo ya watu.
Sasa hivi wamerudi kivingine baada ya kuona hata hizo Megastructure hazipo huku Wakidai Bandari zinauzwa.
Wakishiriki Chaguzi wanaweza kupatapata tofauti na 2020
Mbona hapo Mbarali ccm imeshinda kwa kishindo!!?Wakati tunaingia kwenye uchaguzi wa 2020 kila mtanzania alishawapuuza CHADEMA. Walionekana wanasideline na watu wasioipendea mema Tanzania.