Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
View attachment 1530307
Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.
Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.
Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.
Sera nyingine ni kama hizi:
View attachment 1530347
View attachment 1530349
CCM must go!!
Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.
Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.
Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.
Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.