Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!

Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.

Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.

Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.

Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.
 
Amewashinda Zitto na chama chake kichanga kuelezea pesa zitatoka wapi, nyie mnaweka ahadi tupu halafu mnajisifia.
Unapoambiwa kwa kushirikiana na sekta binafsi unaelewa nini???? Tatizo ujamaa umewaletea uzezeta kichwani hadi mnafikiri kwenye kila kitu hela lazima zitoke serikalini. Hakuna nchi zenye maendeleo ya kweli ambazo kila kitu zinategemea serikali hasa nchi zetu za kijamaa.

Chadema wanaamini katika ubepari Yaani serikali inakuwa kwenye sera na miongozo katika sehemu kubwa, ila sekta binafsi ndo inakuwa engine katika kuendesha nchi.

Sasa unaposema hela zitatoka wapi jibu lake ni kuwa sekta binafsi ndo watatoa hela na kutekeleza, serikali wataweka tu sera Nzuri za kuiwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu kwenye haya.

Punguza ukilaza ndugu!
 
Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.

Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.

Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.

Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.
Hayawezekani chini ya sera zenu mfu za kijamaa ambazo serikali ndo kila kitu. Na ndo mana mnapata shida kwenye kupata hela.

Chadema kuyafanya haya kwao inawezekana kwa sababu wao kipaumbele chao ni kwa kutumia sekta binafsi na sio serikali. Sehemu yeyote yenye Sera za kutegemea sekta binafsi hawajiulizagi hela zitatoka wapi maana wanajua kama kufanya jambo hela itatoka sekta binafsi na serikali kazi yake itakuwa ni sera nzuri, mazingira mazuri na kodi tu!
 
Kwanza hakuna anaeweza kuchukuwa ushauri wako sababu wewe Ni takataka tu pili ikiwa baba wa demokrasia nccr mageuzi walishindwa itaweza kweli Sacco's?
Jikite kwenye hoja acha mipasho.hapa inazungumziwa maslahi ya wafanyakazi na ajira vijana wengi wanahitimu wako mtaani hakuna kazi.
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
Jikite kwenye hoja. Serikali ya sasa imeshindwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi na kutoa ajira kwa vijana wetu.
 
Safi Sana. Uzuri wa jpm anatembelea sera za cdm ktk kuongoza kwake. Hivyo tunategemea mitano mingine nchi itanemeeka. Au mmesahau 90% ya anayofanya magu ni agenda za cdm 2015?
Sasa mbona miaka mitano hii ya mwanzo wafanyakazi hoi, ajira kwa vijana ziiiiiii. Au tuendelee kusubiri mabomba yatatoa maziwa nchi nzima tukimchagua tena?
 
Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.

Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.

Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.

Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.
Wacha kurukaruka na porojo, tulia tulii dawa iingie
 
Ahadi ni jambo moja utekelezaji wake ndiyo shughuli.

Kuahidi mbona hata wewe unaweza kuahidi. Hata CCM ina ilani nzuri kabisa. Wakitekeleza hata asilimia 70 ya ilani yao tutaishangaza Dunia.

Tatizo tulilonalo kama nchi na bara kwa ujumla ni utekelezaji wa drafts tulizonazo na kuhakikisha walau kila draft inafanyika kwa asilimia 70.

Hapo ndipo akili yangu inaniambia sioni mtekelezaji mwingine zaidi ya JPM.
 
Hapo Ufipa mmeajiri watu wangapi maana Mwita Waitara alidau hata michango ya nssf ya watumishi wawili waliopo hamuiwasilishi!
Wakikujibu unistue, nipo hapa kwa mnama napata mboriko
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
Nyie ndio wanufaika wa utawala wake... Hata akishinda ajue ukoo wangu mzima HATUMPENDI.
 
Amewashinda Zitto na chama chake kichanga kuelezea pesa zitatoka wapi, nyie mnaweka ahadi tupu halafu mnajisifia.
Kwani ilani ni bajeti mpaka watake chanzo cha fedha?
 
sio mbaya mkaiba na kuongeza na ile ya Mzee wetu Hashim Rungwe... MTAONDOA TATIZO LA LISHE DUNI KWA WATANZANIA..

Tatizo hili lisipozibitiwa hayo mengine yote hayana maana, madhara ya lishe duni ni Kizazi dhaifu kisicho na afya pamoja na akili zilizodumaa..
 
Sasa ilikuwaje akatangazwa mshindi pamoja na kupata kura kidogo? Ndo maana Mimi naona bila matumizi ya nguvu,ccm bado ipo sana
Unaumwa nini jomba..ungeanza kujaribu kutumia nguvu kwanza kumuondoa mkeo ndani ya nyumba..ukiona ni rahisi njoo ujaribu
 
Mimi CCM ing'olewe kivyovyote vile,siwezi kufadhaishwa kwasababu kuwepo kwake madarakani sioni ninachofaidika zaidi ya kuona wengine wanafaidika.Hao wanaofaidika ndiyo waitetee ikiwezekana hata kifo.
Pia kunawatu tunasema hivyo hivyo.
 
Bila kusahau sera ya kuinua hali ya wakulima, kuboresha vitendea kazi wapate mbolea matrecta na madawa kwa bei nafuu na kukopeshwa!!
Kama matrecta ya farm track wakulima waokolewe!!
Serikali isiingilie biashara ya mazao, isiuwe masoko kama ya Kenya na India ili wakulima wapate bei nzuri.
Serikali iwe rafiki kwa wawekezaji na wafanya biashara sio kuwafilisi na kuwadhulumu.
Serikali iache propaganda ya kudhalilisha wadau wa biashara kigezo cha uhujumu uchumi na kudhulumu fedha zao.
Kujenga uchumi ni kuimalisha tax base sio kubomoa watu kuwafilisi!!
 
Huwezi kuachia kila kitu private enterprise, hutaangukia pua asubuhi mapema.
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
Huyo Mungu ni wa Gamboshi anaye ruhusu watu wauwawe wapotezwe kina Azory Saanane wapigwe risasi kama Tundu Lisu??
Wasiojulikana wamekamatwa au unapotezea tukukumbushe??
Usijitoe ufahamu kama hujui labda unaandika ukiwa hapo Lumumba??
 
Huwezi kuachia kila kitu private enterprise, hutaangukia pua asubuhi mapema.
Sio dhuluma ndg, Ars burea de changes watu wamedhulumiwa dola zao na vifungo juu eti wahujumu uchumi!!
Uliza uambiwe ndg, Check na BoT!!
 
Back
Top Bottom