Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

Uchaguzi 2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

JPM yeye anaaisitiza kazi tu lqkini maslahi hajali kabisa.
Chadema inambidi aje na namna ya kupata hizo pesa za nyongeza kwa watumishi wa umma bila kuadhiri sekta nyingine kama afya,elimu,maji,na miradi inayoendelea kujengwa.
 
Twende twende twende
IMG_20200808_083637_084.JPG
 
Sio dhuluma ndg, Ars burea de changes watu wamedhulumiwa dola zao na vifungo juu eti wahujumu uchumi!!
Uliza uambiwe ndg, Check na BoT!!
Mimi si support dhuruma,lakini sikubali upumbavu wa kuchukua 99.9 % ya mali asili zetu kama migodi,mafuta,ardhi n.k.kuwakabidhi mabeberu kwa kigezo cha private enterprise za mabeberu. Nenda kwao uone kama utapewa bure mali zao kama kwetu.
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
naunga mkono ubunifu kama huu wa sera muhim kuwa kwenye vipeperushi imekaa vizuri sana vichapishwe kwa wingi maana hata kiziwa itamsaidia kuelewa vizuri, mtoa mada ongera
 
Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.

Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.

Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.

Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.
CCM mmechoka, na hata mawazo yeny ya kichovu!
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Kulipa kodi ni haki ya kila Mtanzania,CDM itengeneze Sera itakayowezesha Watanzania wote wanakuwa walipa kodi kuanzia Rais hadi raia wa kawaida kwa kuweka kipengele kitakachoboresha aina na namna ya ulipaji mfano VAT kidogo katika manunuzi ya bidhaa unaweza kuleta maajabu iwapo itakuwa ndogo,kila bidhaa ikalipiwa bila ukwepaji.Viongozi wa kisiasa hawalipi PAYE ndiyo maana hawawezi kufahamu maumivu yake huku wakijilipa mishahara na marupurupu manono halafu hawalipi kodi.Ndiyo sababu wataalam na wasomi wote wanakimbilia siasa.
Pia itengenzwe mifumo inayoleta ulinganifu wamishahara inayoendana na aina ya kazi na ujuzi husika katika ajira mfano watu kwenye Vyeti,Diploma,Degree nk wasipishane mishahara kulingana na idara,mashirika au taasisi za umma wanazofanyia kazi.Kama ni mfagizi,karani,meneja nk alipwe kulingana na aina ya cheti chake.Watu wasingekimbia taaluma zao kwenda kuwa wabunge.
 
Unaumwa nini jomba..ungeanza kujaribu kutumia nguvu kwanza kumuondoa mkeo ndani ya nyumba..ukiona ni rahisi njoo ujaribu
Mkuu hatakuwa wa Kwanza kuondoka kwa nguvu,may be ujinga na umbumbu ndo unakusumbua
 
Kwanza akili na uwezo wa kukusanya pesa ili yote hayo yafanyike hwana hao chadema, na hapo bado hawaja jichotea vipesa walivyokusanya kwa ufisadi.

Hakika nakwambia hawataweza lipa mishahara mfurulizo kwa mwaka mmoja watashindwa vibya sana.

Hayao madaraja ma mishahara yatakuwa hewa, na mtarudi kusema hapa kuwa mbona CCM hawakutekeleza miaka hamsini.

Mmesema miundombinu sio kitu cha muhimu, sasa mtawapandishia mshahara wa t sh 10000, kisha kishabkufika kwenye huduma watatumia pesa nyingi zaidi kwani miundombinu haitakuwa rafiki hivy watapata shida na hiyo nyongeza ya mshahara.
Miakabyaote huko nyuma waliongezwa lakini walibaki na shida maana mfumuko wa bei tu kwao ilikuwa ni tatizo.
Hivyo usidhani wafanyakazi wote ni wajinga kwa ahadi hewa zenu na sisizo na mashiko.
Mkuu toka kwenye hilo blanketi ulifungiwa,angalia vitu vidogo tu kama Mbowe ni tajiri kuliko Magu ,hiyo akili ya kupata utajiri aliitoa wapi na hiyo akili ya Magu kuweza kukusanya pesa ya nchi lakini akashindwa kukusanya yake binafsi inapatikana wapi hiyo?
 
Bila kusahau sera ya kuinua hali ya wakulima, kuboresha vitendea kazi wapate mbolea matrecta na madawa kwa bei nafuu na kukopeshwa!!
Kama matrecta ya farm track wakulima waokolewe!!
Serikali isiingilie biashara ya mazao, isiuwe masoko kama ya Kenya na India ili wakulima wapate bei nzuri.
Serikali iwe rafiki kwa wawekezaji na wafanya biashara sio kuwafilisi na kuwadhulumu.
Serikali iache propaganda ya kudhalilisha wadau wa biashara kigezo cha uhujumu uchumi na kudhulumu fedha zao.
Kujenga uchumi ni kuimalisha tax base sio kubomoa watu kuwafilisi!!
Uko vizuri sana. Haya ndo mambo tunayoyataka na yanawezekana nje ya serikali za kijamaa tu. CCM na Sera zao za kijamaa hazitawafikisha popote watanzania
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chadema wanapenda kuota Sana ipo siku mtaamka
 
Ushindi wa Magu mwaka huu ni zaidi ya mafuriko! Hatupeleki wasanii wa kuigiza ikulu! Tunapeleka wenye uthubutu na utimamu wa akili! Mungu azidi mbariki, kumuongoza na kumtunza rais wetu mpendwa My. Dr. JJ P Magufuli! Mungu ibariki zaidi Tz!
Unaonekana unampenda sana JPM mkuu??
 
Mimi si support dhuruma,lakini sikubali upumbavu wa kuchukua 99.9 % ya mali asili zetu kama migodi,mafuta,ardhi n.k.kuwakabidhi mabeberu kwa kigezo cha private enterprise za mabeberu. Nenda kwao uone kama utapewa bure mali zao kama kwetu.
Kwani kwako migodi, madini na maliasili inamilikiwa na serikali au kampuni binafsi???

Punguza ukilaza kidogo basi ndugu! We ukisikia Barrick unadhani ni serikali???

Acha nikufundishe kidogo!

Ubepari unaamini kwenye kutengeneza sekta binafsi imara sana inayotoa ajira za uhakika na nyingi huku ikitengeneza faida kubwa sana. Serikali kwenye hayo inakuwa inachukua kodi yake stahiki tu huku ikitengeneza sera na mazingira murua uwekezaji wa sekta binafsi ulete impact kwenye uchumi wa wananchi na nchi.

Kwa nchi za kibepari makampuni ndo yanalipia hadi scholarships za wanafunzi vyuoni na kujenga miradi mbalimbali na hata mahospitali kwa ajiri ya wananchi.

Nyie kwa Sera zenu za kijamaa mna amini kuwa kila kitu lazima kianzie serikalini na serikali iwe na ushawishi na Ndo mana mnazalisha wanasiasa matajiri huku wananchi wengi wakiwa kwenye umaskini.

Pata exposure na fanya research ili uweze kuelewa haya mambo ndugu!
 
View attachment 1530307

Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika.

Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la kupunguza kama sio kufuta kabisa makato ya Bodi ya Mikopo.

Mkiondoa au kupunguza mashangingi serikalini,kufuta mbio za mwenge, na hata kupunguza au kuondoa kabisa sitting allowance za wabunge na mambo mengine, mnaweza pata fedha za kusomesha watoto wa masikini wa nchi bila kuwabagua kwa madaraja au kutokana na uwezo mzuri wa kifamilia kwa wale wanaotoka katika famila zinazojiweza/zenye unafuu wa kipato.

Sera nyingine ni kama hizi:

View attachment 1530347

View attachment 1530349

CCM must go!!
Chama chenye sera nzuri ni ACT Wazelendo(mimi si mfuasi wala mpenzi wa chama hiki) ila kwa kuwa akili zetu zinaendeshwa kwa matukio plus mihemko tusifie tu CHADEMA na CCM wabongo tumeshazoe kudanganywa.
 
Wafanyakazi mlishaambiwa kuwa kama mnaona mishahara midogo nendeni mkalime kwani yapo mapori mengi tu Tanzania. Ni wakati wenu kufanya maamuzi sahihi ya kulivua kongwa hili la utumwa chini ya utawala wa CCM ifikapo 28/10/2020.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwani kwako migodi, madini na maliasili inamilikiwa na serikali au kampuni binafsi???

Punguza ukilaza kidogo basi ndugu! We ukisikia Barrick unadhani ni serikali???

Acha nikufundishe kidogo!

Ubepari unaamini kwenye kutengeneza sekta binafsi imara sana inayotoa ajira za uhakika na nyingi huku ikitengeneza faida kubwa sana. Serikali kwenye hayo inakuwa inachukua kodi yake stahiki tu huku ikitengeneza sera na mazingira murua uwekezaji wa sekta binafsi ulete impact kwenye uchumi wa wananchi na nchi.

Kwa nchi za kibepari makampuni ndo yanalipia hadi scholarships za wanafunzi vyuoni na kujenga miradi mbalimbali na hata mahospitali kwa ajiri ya wananchi.

Nyie kwa Sera zenu za kijamaa mna amini kuwa kila kitu lazima kianzie serikalini na serikali iwe na ushawishi na Ndo mana mnazalisha wanasiasa matajiri huku wananchi wengi wakiwa kwenye umaskini.

Pata exposure na fanya research ili uweze kuelewa haya mambo ndugu!
Yaonekana hujui kwanini hao magabachori yalikujaje to exploit our natural resources in the first place.
Wewe huoni kuwa hapakuwepo win win situation for Investors na Tanzania?
Kwanini serikali ya sasa imekuwa ikitaka mikataba ya nyuma ipitiwe upya?
Je inaingia akilini India na Kenya kuwa major exporters wa Tanzanite wakati mzalishaji pekee duniani ni Tanzania?
 
Dunia nzima corona ni tatizo isipokuwa Tanzania,we are exceptional,kutulinganisha sisi na hiyo duniani ni kumdhalilisha rais wetu mpendwa sana JPM na nchi yetu
Dunia nzima corona ni tatizo kuna biashara za tz zimekwama kwasabab ya corona
 
Rais na mawaziri na wabunge mjipunguzie mishahara. Hiyo hela muielekeze kwa huduma kila kijiji.
 
JPM yeye anaaisitiza kazi tu lqkini maslahi hajali kabisa.
Kuna ndugu yangu m'moja alinambia niache kazi yeye atanilipa mshahara sawa na ule wa ofisini plus ataniongezea allowance kisha nimsaidie kusimamia na kuikuza miradi yake.

Nikasema ngoja nitest mitambo. Nikaanza kupiga nae kazi nikiwa nimemfix kuwa job nisubiria kumalizia mkataba niwe huru.

Aaaah jamaa nikaja kugundua ni mbwembwe tu, mchungu na hela yake balaa. Anatoa hela ila kwa masharti kama mganga na akitoa hata laki tano anavyokuhoji na kufuatilia hadi unajiuliza jamaa kanipa laki tano au bilioni tano.

Nikaona huyu hanijui.... Sikuaga wala nini nikarejea kazini kuendelea na ratiba zangu akinipigia sipokei tena wala kuwasiliana nae.....

Kwahiyo kuna watu wapo hivi, yeye hajali wewe utapoteza nini ili yeye apate anachotaka ni mwendo wa punda afe mzigo ufike......
 
Dunia nzima corona ni tatizo kuna biashara za tz zimekwama kwasabab ya corona
Mkuu pamoja na kwamba hujaelewa nilichoandika ,hata hivyo naomba nikusaidie kujua kuwa,una bahati mbaya kudhani kila mtu,kila mtanzania anafanya biashara za kimachinga Kama unazofanya wewe.kuna watu wanafanya international trade,mfano watu waliokuwa wanaexport green beans, avocado's and the like kwenda Europe bado wanaexport? Msiwe mnaharisha harisha tu eti kwa kuwa mmenunua bando
 
Back
Top Bottom