Tetesi: CHADEMA, kwanini mkutano wa Tundu Lissu na Daniele Viotti unafanywa siri?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
 
Kama ni wasiri umeujuaje? Watanzania fanyeni kazi acheni kukesha kwenye Mitandao Siku Mh.Rais akiifunga hii Mitandao sijui mtashinda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muacheni huru MZALENDO aongee,munamuongelea leo akiwa na nafuu wakati mulimnyima huduma zote za kibinadamu?Hata haki ya matibabu,amepambana mwenyewe na watu wake leo munampenda na kutaka kumuweka kwenye himaya yenu kwa nguvu?munataka maziwa ya ng'ombe asiyelishwa?,na nyinyi safirini na kufanya mahojiano kama muna INFLUENCE.
 
Lissu anawatesa sana watu hawalali.
Wakudadavuwa lazima ateseke sana. Siasa kafundishwa Chadema, roho inamuuma maana alifukuzwa kwa ujinga wake, na sasa pamoja na uwaziri alionao lakini haishi kuiota chadema. Ni sawa na namna binti/mwanamke asivyoweza kumsahau mwanaume aliyetoa "ubinti" wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Jambo hili lisikuumize kichwa. Huu mkutano na huyu m bunge wa Ulaya unafanywa siri ili mabeberu wa Lumumba waje kuhasiwa ghafla na bila taarifa.
Si unajua ubaya wa kuwapa taarifa mapema?
Wasije wakajihami na POLICCM yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe analibomoa taifa! Mmeanza ku-panick? Hah hah hah!
Serikali na bunge sijui vinasubiri nini kufuta ubunge na hati ya huyo snowden wa Tanzania. Ni aibu kwa serikali kumgwaya mtu mmoja na huku akiendelea kulibomoa Taifa akiwa na hati ya mwanadiplomasia.
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Kwanza hakuna uthibitisho wa maelezo yako

Pili, hata kama akiongea naye, kuna tatizo gani?

Tatu, una uhakika akikutana kuongea naye, wanaongelea juu ya kukufanya wewe uwe shoga?

Nne hata kama wakiongelea haki za mashoga, kuna tatizo gani? Hapa kwetu kuna watu tunawapigia makofi, tunawashangilia na kuwaabudu lakini wanaua raia, wanateka, wanawapoteza watu. Hivi mtetezi wa mashoga ni mbaya kuliko muuaji, mtekaji na mpotezaji watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Aiseee sijuwahi kudhani kuwa TL anawapelekesha kiasi hiki

Jr[emoji769]
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Siyo siri maana hata wewe ni shahidi, utuambie basi. Umalaya hauna bei.
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Hizi top inside wenzetu mnzipataje?. Wakudada ungekuwa ni mwandishi wa gazeti, gazeti lako lingebamba sana kwa ma scoop ya Chadema, ungeuza mpaka basi.

Hongera na endelea kutuletea za moto moto za Chadema kutoka jikoni.
P
 
Back
Top Bottom