Tetesi: CHADEMA, kwanini mkutano wa Tundu Lissu na Daniele Viotti unafanywa siri?

Hizi top inside wenzetu mnzipataje?. Wakudada ungekuwa ni mwandishi wa gazeti, gazeti lako lingebamba sana kwa ma scoop ya Chadema, ungeuza mpaka basi.

Hongera na endelea kutuletea za moto moto za Chadema kutoka jikoni.
P
Karibu mkuu, ngoja niendelee kuoga matusi kutoka kwa makamanda badala ya kujibu hoja.
 
Ila haya yangekua ni kasema zito au lisu msinge hoji kama ni siri ye kajuaje.Huu nao ni UNAFKI.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Wao wanaamini kuwa Tundu na Zittto ndiyo wanamiliki ukweli.
 
Lisu is looking for his own interest not Widen interest of the national, thats why you see he is accepting everything so long as his interests are defended
 
Ni mkutano wa siri, mbona tumetaka mikataba ya madini miaka na miaka haiwekwi hadharani zaidi ya kusikia mikataba ni siri?
Hahahahahah, mbona unahamisha magoli?Mikataba imekuwa siri kwasababu kuna nia ovu dhidi ya watanzania, Huyu Lisu naye nia yake ni nini ukizingatia huyo jamaa ni mtetea ushoga na juzi hapa lisu kaleta mkanganyiko kuhusu ushoga?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Karibu mkuu, ngoja niendelee kuoga matusi kutoka kwa makamanda badala ya kujibu hoja.
That doesn't kills you, makes you stronger, hivyo endelea tuu utakuwa imara kama jabali, wakirusha matusi yao yana dunda tuu na kuwarudia wenyewe.
P
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Hivi kwa mfano wewe ukiwa mwanamke utazungumzia mambo ya wanawake tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali na bunge sijui vinasubiri nini kufuta ubunge na hati ya huyo snowden wa Tanzania. Ni aibu kwa serikali kumgwaya mtu mmoja na huku akiendelea kulibomoa Taifa akiwa na hati ya mwanadiplomasia.
Wasema ukweli wanabomoa taifa, wanao bomoa demokrasi, kushambulia raia wasio hatia wauzao nchi (mikataba ya madini) wezi wa 1.5T na vibaraka wao ndio wazalendo! Acha lissu aseme dunia nzima iwatambue nyie ni akina nani, kama mnaweza na nyie elezeni maovu yenu tbc wanyama pori!
 
Lissu Alipoulizwa swali juu ya mambo haya ya kishenzi...na mtangazajiwa hardtalk ya BBC juu ya msimamo kwa jambo hili. Lissu alikataa kata kata kuonyesha msimamo wake thabiti kukerwa na mambo haya ya kishezi. Lissue hafai kusimamia maadili ya watanzania.
Mbona humshambulii Magufuli na Mahiga ambao waliweka msimamo wao wazi kabisa kuwa CCM na serikali ya CCM wanaunga mkono ushoga, na kamwe hawatawasumbua mashoga? Mambo ya kuwakamata mashoga yalikuwa ni maneno ya kipuuzi tu ya Makonda?

Msiwe wanafiki wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah, mbona unahamisha magoli?Mikataba imekuwa siri kwasababu kuna nia ovu dhidi ya watanzania, Huyu Lisu naye nia yake ni nini ukizingatia huyo jamaa ni mtetea ushoga na juzi hapa lisu kaleta mkanganyiko kuhusu ushoga?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu

Hiyo ni hoja ya kiwendawazimu, linapokuja suala la ushoga sisi waafrika hatunyooshi maelezo. Kwanza ushoga upo na wala hauletwi na viongozi. Hakuna popote mtu ameamrishwa kuwa shoga bali ni Nyege zake, na ukiacha sababu za kijamii ushoga haizuii maendeleo wala kuharibu amani. Kwangu mtu akitumia nguvu eti anapoteza muda kwamba anaona ni issue ya msingi namuona mwehu tu.
 
Sijui huko shuleni ulikua unafaulu vipi mitihani, kwamba haya maelezo ndio majibu ya maswali yangu?Mbona swali lako Mimi nimelijibu direct kwamba mikataba inasainiwa gizani na ni siri kwakua ina nia ovu dhidi ya watanzania?Kwanini nawewe usijibu badala ya kuja na nonsense argument?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Ukurasa namba ngapi ulisoma kuwa kuna upotevu wa 1.5T?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Acha maswali ya kizwazwa, kama vitabu vinaonyesha zimekusanywa, alafu havionyeshi zilipotumiwa na hazipo, huhitaji gwanda la kijani kujifanya hamnazo, ita vyovyote kwetu wazalendo wenyewe sio nyie feki tunajua nyie panya wa kijani mmezitafuna, hayo hayajaanza leo wala jana, toka enzi ya babaenu, mashirika ya umma mmefilisi kaja mzee ruksa mpaka twiga wanapanda boeing mkapa hadi leo hatujasahau rada nk kikwete eskroo etc haka hata miaka 5 hakajafikisha 1.5t, ikiisha 10 kama KATAKUBALI KUONDOKA (maana kuna dalili zote za kikagame/ museveni) hazina yote itakuwa imepigwa deki!
 
kamanda huna hoja zaidi ya ramli.
 
Ndugu zangu,

Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.

Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.

Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
SOMAIYOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!
 
Siyo kila kitu kinawekwa hadharani. Mengine ni mambo binafsi haina haja ya kuhangaika nayo. Huenda mwenyeji wake hakutaka iwe public
 
Muacheni huru MZALENDO aongee,munamuongelea leo akiwa na nafuu wakati mulimnyima huduma zote za kibinadamu?Hata haki ya matibabu,amepambana mwenyewe na watu wake leo munampenda na kutaka kumuweka kwenye himaya yenu kwa nguvu?munataka maziwa ya ng'ombe asiyelishwa?,na nyinyi safirini na kufanya mahojiano kama muna INFLUENCE.
Kamandaaa,ahahaahaaa chadema mna kazi sana,kwa hio na wewe mwanaharakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom