Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
- #41
jibu zuriSiyo kila kitu kinawekwa hadharani. Mengine ni mambo binafsi haina haja ya kuhangaika nayo. Huenda mwenyeji wake hakutaka iwe public
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu zuriSiyo kila kitu kinawekwa hadharani. Mengine ni mambo binafsi haina haja ya kuhangaika nayo. Huenda mwenyeji wake hakutaka iwe public
Sijui huko shuleni ulikua unafaulu vipi mitihani, kwamba haya maelezo ndio majibu ya maswali yangu?Mbona swali lako Mimi nimelijibu direct kwamba mikataba inasainiwa gizani na ni siri kwakua ina nia ovu dhidi ya watanzania?Kwanini nawewe usijibu badala ya kuja na nonsense argument?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Sasa mbona ulikua unahoji maswali amabayo yana support Kuwa ni sahihi kwa Lisu kufanya siri?Hakuna popote ulipohoji validity ya hii habari zaid ya kuonesha Lisu yuko sahihi.Misuli hapa sio chumba cha mtihani au mahakamani. Hii habari ni tetesi wala huna uhakika na huu umbea, unataka majibu ndani ya uzi wa tetesi? Au umeanzisha uzi wako ndani ya huu wa tetesi? Acha vioja boss.
Sasa mbona ulikua unahoji maswali amabayo yana support Kuwa ni sahihi kwa Lisu kufanya siri?Hakuna popote ulipohoji validity ya hii habari zaid ya kuonesha Lisu yuko sahihi.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Na itaendelea kuwa siri sababu wakuu wenu wanaona aibu kuweka wazi kutokana na dhamira za Danielle na kundi lakeMisuli hapa sio chumba cha mtihani au mahakamani. Hii habari ni tetesi wala huna uhakika na huu umbea, unataka majibu ndani ya uzi wa tetesi? Au umeanzisha uzi wako ndani ya huu wa tetesi? Acha vioja boss.
Magufuli hanaga vikao vya siri?Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Mkuu hizi nafasi za u-dc mbili pia hujaonekana?Hizi top inside wenzetu mnzipataje?. Wakudada ungekuwa ni mwandishi wa gazeti, gazeti lako lingebamba sana kwa ma scoop ya Chadema, ungeuza mpaka basi.
Hongera na endelea kutuletea za moto moto za Chadema kutoka jikoni.
P
Mambo mengi ni siri, vinginevyo unajambo na cdm, maana hata mnangagwa alikuja TZ akaongea lakni nani anajua waliongea nini? alisikika tu wakati anataka kumsalimia Mwinyi na Mkapa
Nilipomsikia Lissu anasita kusema NO kwa ushoga, nilijua yuko tayari kwa lolote ili tu afanikiwe kisiasa. Kibaya asichokijua ni movement kama hizo za mashoga jinsi zinavyotafuta watu ambao wako desperate. Mama Joyce Banda pale Malawi yalimkuta, leo hii yuko nje ya utawala.Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Ndugu zangu,

Nawe umekuwa kundi la wazembe tu! Kwani Lissu ni wa kwanza kuzungumziwa nchi hii? Hukuwahi kumusikia Mch. Mtikila? Lissu hajafikia hata reasoning ya Mtikila. Anachouza sasa hivi ni huruma ya kupigwa risasi, basi!Aiseee sijuwahi kudhani kuwa TL anawapelekesha kiasi hiki
Jr[emoji769]
Yaani mpaka baba ako anakataa mambo ya madini kukaguliwa na CAG bado unadai kuna usiri kisa kupigwa acha upumbavu weweSijui huko shuleni ulikua unafaulu vipi mitihani, kwamba haya maelezo ndio majibu ya maswali yangu?Mbona swali lako Mimi nimelijibu direct kwamba mikataba inasainiwa gizani na ni siri kwakua ina nia ovu dhidi ya watanzania?Kwanini nawewe usijibu badala ya kuja na nonsense argument?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
HayaMagufuli hanaga vikao vya siri?
Ukishaa ambiwa ni Siri elewa ni SIRI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe analibomoa taifa! Mmeanza ku-panick? Hah hah hah!
Acha upunguani we!TL avuliwe Ubunge na kunyang'anywa hati ya,kusafiria ya Tanzania bila kuchelewa. Fedha anazolipwa na hao wafadhili wake ziishie kitumika hukohuko na serikali ihakikishe haziingii Tanzania.
Wasema ukweli wanabomoa taifa, wanao bomoa demokrasi, kushambulia raia wasio hatia wauzao nchi (mikataba ya madini) wezi wa 1.5T na vibaraka wao ndio wazalendo! Acha lissu aseme dunia nzima iwatambue nyie ni akina nani, kama mnaweza na nyie elezeni maovu yenu tbc wanyama pori!