Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Yaani vyombo vya habari chungu mzima sasa hivi habari ni Lissu tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Kingereza naona kingi mixer kiswahili tu hapoPunguani!! TL anatakiwa ashungulikiwe kwa utaratibu wa actions speak louder than words. Ili apate maneno zaidi ya kuongea.
Khalafu jamaa ni muongo aliye tukuka eti utendaji kazi wa JMP na serikali ulikubalika kwa ile miezi 3 ya mwanzo ya utawala wake, is the guy serious?
Atarudi kulihutubia bunge 2020 akiwa kama raisiLisu bhana, 2020 hatarudi bungeni
Ha ha ha! Mh. Lissu anaangaisha vichwa vya Watawa sana yaani 24/7 wanafatilia lissu leo yuko wapi? Anafanya Nini?
Ni vizuri kama Lissu ilo kaligundua Pia kwaiyo vikao vingine vinakua Confidential.
Sio vizuri Watawa mjue kila anachofanya Kamanda wetu, mtetezi wetu.
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Kamanda jenga hojaWe unatakaje?... ccm mpo tu kama chupi ya mkeka.
Nafikiri wewe ndio MPUMBAVU na mkurupukaji.Soma vizuri hiyo comment yangu pimbi wewe.Yaani mpaka baba ako anakataa mambo ya madini kukaguliwa na CAG bado unadai kuna usiri kisa kupigwa acha upumbavu wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja mjenge nyie wenye kutumia risasi na magereza.
Sasa hapa lengo lako ni lipi,?Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
dahkama siri na huyo shoga basi hatakuwa na siri.ukikaa na mwizi lazima uwe mwizi,ukikaa na mlevi basi utakuwa mlevi.ndio tatizo la usiri
Eti vibaraka, skuizi kiswahili kimekua kigumu kwa wanao nyemelea ukuu wa wilaya, mnajikomba kwa wauwaji na watekaji, utu unawatoka sababu ya ukuu wa wilaya, eti asiijibu huyu uwezo wenyewe wa kujibu atapata wapi anachijua yeye ni kamata weka ndani, mgambo anapewa wadhfa wa kuongoza, matokeo ni hv vituko!Serikali wala Rais hawatakiwi kumjibu TL na nyie vibaraka wake kwa maneno matupu, ni kwa vitendo. CAG aliye sema TZS 1.5 hazijulikani matumizi yake, mlimtetea anakinga, sikaenda mwenyewe bungeni kuhojiwa. Katoa ripoti tusubiri PAC watoe walichogundua kuhusu huo wizi mnaoupigia debe hapa kila itwayo leo.
TL hatakiwi kujibiwa kwa maneno, huwezi shindana na mtu anayeongea kama cherahani na wakati mwengine bila kupima maneno ya kinywa chake, kautetea ushoga na wote tumesikia.
Serikali huyu ni kumongelesha kwa vitendo tu. Wanao mfadhili TL wanataka wamchokoze Rais wasikie anaongea nini na kujua msimamo wake. Kama Rais alivyo piga kimya issue ya CAG vivyo hivyo akae kimya Issue ya TL.
Bila ya ucheleweshaji wowote avuliwe Ubunge na anyang'anywe hati ya kusafiria ya Tanzania. Kumuachia huyu jamaa hati ni kumuachia zana ya kufanyia kazi kubomoa Taifa.
Eti vibaraka, skuizi kiswahili kimekua kigumu kwa wanao nyemelea ukuu wa wilaya, mnajikomba kwa wauwaji na watekaji, utu unawatoka sababu ya ukuu wa wilaya, eti asiijibu huyu uwezo wenyewe wa kujibu atapata wapi anachijua yeye ni kamata weka ndani, mgambo anapewa wadhfa wa kuongoza, matokeo ni hv vituko!
I cannot flog a dead horse!Kibiti ugaidi bado upo? Tuanzie hapo, maana ninavyojua yeye anajibu kwa vitendo si maneno mingimingi. Wafuasi wake na tunaomuunga mkono tunamjua tangu naibu waziri wa ujenzi maneno machache ya kilomita za barabara baada ya hapo ni vitendo vingi.
Kamanda jikite kwenye hojaEti vibaraka, skuizi kiswahili kimekua kigumu kwa wanao nyemelea ukuu wa wilaya, mnajikomba kwa wauwaji na watekaji, utu unawatoka sababu ya ukuu wa wilaya, eti asiijibu huyu uwezo wenyewe wa kujibu atapata wapi anachijua yeye ni kamata weka ndani, mgambo anapewa wadhfa wa kuongoza, matokeo ni hv vituko!
I cannot flog a dead horse!