Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #21
Karibu mkuu, ngoja niendelee kuoga matusi kutoka kwa makamanda badala ya kujibu hoja.Hizi top inside wenzetu mnzipataje?. Wakudada ungekuwa ni mwandishi wa gazeti, gazeti lako lingebamba sana kwa ma scoop ya Chadema, ungeuza mpaka basi.
Hongera na endelea kutuletea za moto moto za Chadema kutoka jikoni.
P
Wao wanaamini kuwa Tundu na Zittto ndiyo wanamiliki ukweli.Ila haya yangekua ni kasema zito au lisu msinge hoji kama ni siri ye kajuaje.Huu nao ni UNAFKI.
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
kamanda jifunze kuwa mvumilivu, muulize Lissu kaingia makubaliano gani na Danielle?Siyo siri maana hata wewe ni shahidi, utuambie basi. Umalaya hauna bei.
Hahahahahah, mbona unahamisha magoli?Mikataba imekuwa siri kwasababu kuna nia ovu dhidi ya watanzania, Huyu Lisu naye nia yake ni nini ukizingatia huyo jamaa ni mtetea ushoga na juzi hapa lisu kaleta mkanganyiko kuhusu ushoga?Ni mkutano wa siri, mbona tumetaka mikataba ya madini miaka na miaka haiwekwi hadharani zaidi ya kusikia mikataba ni siri?
That doesn't kills you, makes you stronger, hivyo endelea tuu utakuwa imara kama jabali, wakirusha matusi yao yana dunda tuu na kuwarudia wenyewe.Karibu mkuu, ngoja niendelee kuoga matusi kutoka kwa makamanda badala ya kujibu hoja.
Acha Ujinga anabomoa wapi? Huyo malaika wenu ndo habomoi?Serikali na bunge sijui vinasubiri nini kufuta ubunge na hati ya huyo snowden wa Tanzania. Ni aibu kwa serikali kumgwaya mtu mmoja na huku akiendelea kulibomoa Taifa akiwa na hati ya mwanadiplomasia.
Hivi kwa mfano wewe ukiwa mwanamke utazungumzia mambo ya wanawake tu?Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Wasema ukweli wanabomoa taifa, wanao bomoa demokrasi, kushambulia raia wasio hatia wauzao nchi (mikataba ya madini) wezi wa 1.5T na vibaraka wao ndio wazalendo! Acha lissu aseme dunia nzima iwatambue nyie ni akina nani, kama mnaweza na nyie elezeni maovu yenu tbc wanyama pori!Serikali na bunge sijui vinasubiri nini kufuta ubunge na hati ya huyo snowden wa Tanzania. Ni aibu kwa serikali kumgwaya mtu mmoja na huku akiendelea kulibomoa Taifa akiwa na hati ya mwanadiplomasia.
Mbona humshambulii Magufuli na Mahiga ambao waliweka msimamo wao wazi kabisa kuwa CCM na serikali ya CCM wanaunga mkono ushoga, na kamwe hawatawasumbua mashoga? Mambo ya kuwakamata mashoga yalikuwa ni maneno ya kipuuzi tu ya Makonda?Lissu Alipoulizwa swali juu ya mambo haya ya kishenzi...na mtangazajiwa hardtalk ya BBC juu ya msimamo kwa jambo hili. Lissu alikataa kata kata kuonyesha msimamo wake thabiti kukerwa na mambo haya ya kishezi. Lissue hafai kusimamia maadili ya watanzania.
Hahahahahah, mbona unahamisha magoli?Mikataba imekuwa siri kwasababu kuna nia ovu dhidi ya watanzania, Huyu Lisu naye nia yake ni nini ukizingatia huyo jamaa ni mtetea ushoga na juzi hapa lisu kaleta mkanganyiko kuhusu ushoga?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
Sijui huko shuleni ulikua unafaulu vipi mitihani, kwamba haya maelezo ndio majibu ya maswali yangu?Mbona swali lako Mimi nimelijibu direct kwamba mikataba inasainiwa gizani na ni siri kwakua ina nia ovu dhidi ya watanzania?Kwanini nawewe usijibu badala ya kuja na nonsense argument?Hiyo ni hoja ya kiwendawazimu, linapokuja suala la ushoga sisi waafrika hatunyooshi maelezo. Kwanza ushoga upo na wala hauletwi na viongozi. Hakuna popote mtu ameamrishwa kuwa shoga bali ni Nyege zake, na ukiacha sababu za kijamii ushoga haizuii maendeleo wala kuharibu amani. Kwangu mtu akitumia nguvu eti anapoteza muda kwamba anaona ni issue ya msingi namuona mwehu tu.
Acha maswali ya kizwazwa, kama vitabu vinaonyesha zimekusanywa, alafu havionyeshi zilipotumiwa na hazipo, huhitaji gwanda la kijani kujifanya hamnazo, ita vyovyote kwetu wazalendo wenyewe sio nyie feki tunajua nyie panya wa kijani mmezitafuna, hayo hayajaanza leo wala jana, toka enzi ya babaenu, mashirika ya umma mmefilisi kaja mzee ruksa mpaka twiga wanapanda boeing mkapa hadi leo hatujasahau rada nk kikwete eskroo etc haka hata miaka 5 hakajafikisha 1.5t, ikiisha 10 kama KATAKUBALI KUONDOKA (maana kuna dalili zote za kikagame/ museveni) hazina yote itakuwa imepigwa deki!Ukurasa namba ngapi ulisoma kuwa kuna upotevu wa 1.5T?
Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
wenyewe walifanya siri lakini imevuja.Kama ni wasiri umeujuaje? Watanzania fanyeni kazi acheni kukesha kwenye Mitandao Siku Mh.Rais akiifunga hii Mitandao sijui mtashinda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
kamanda huna hoja zaidi ya ramli.Acha maswali ya kizwazwa, kama vitabu vinaonyesha zimekusanywa, alafu havionyeshi zilipotumiwa na hazipo, huhitaji gwanda la kijani kujifanya hamnazo, ita vyovyote kwetu wazalendo wenyewe sio nyie feki tunajua nyie panya wa kijani mmezitafuna, hayo hayajaanza leo wala jana, toka enzi ya babaenu, mashirika ya umma mmefilisi kaja mzee ruksa mpaka twiga wanapanda boeing mkapa hadi leo hatujasahau rada nk kikwete eskroo etc haka hata miaka 5 hakajafikisha 1.5t, ikiisha 10 kama KATAKUBALI KUONDOKA (maana kuna dalili zote za kikagame/ museveni) hazina yote itakuwa imepigwa deki!
Ukivaa miwani ya mbao masikioni ukaweka nta huwezi ona wala sikia kila kitu kwako kitakua ramli tuu! maana unashikwa mkono na kuongozwa hata chooni! pole!kamanda huna hoja zaidi ya ramli.
SOMAIYOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!Ndugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Tutasinda kzn na watu mbona wako kznKama ni wasiri umeujuaje? Watanzania fanyeni kazi acheni kukesha kwenye Mitandao Siku Mh.Rais akiifunga hii Mitandao sijui mtashinda wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kila kitu kinawekwa hadharani. Mengine ni mambo binafsi haina haja ya kuhangaika nayo. Huenda mwenyeji wake hakutaka iwe publicNdugu zangu,
Kwanini Chadema hawaelezi matokeo ya mkutano baina ya Tundu Lissu na Daniele Viotti? uchunguzi wetu umebaini mkutano huo wa siri umefanyika alfajiri ya leo tarehe 29 Januari, 2019 kwa saa za Afrika ya Mashariki.
Daniele Viotti ni Mbunge maarufu na mzungumzaji katika bunge la ulaya na ni raisi mwenza wa umoja wa wabunge katika bunge la ulaya kutetea haki za watu wanaojihusisha na ndoa ya jinsia moja na ushoga.
Je harakati za kutafuta uungwaji mkono zitatangazwa na bunge la ulaya?
Kamandaaa,ahahaahaaa chadema mna kazi sana,kwa hio na wewe mwanaharakati.Muacheni huru MZALENDO aongee,munamuongelea leo akiwa na nafuu wakati mulimnyima huduma zote za kibinadamu?Hata haki ya matibabu,amepambana mwenyewe na watu wake leo munampenda na kutaka kumuweka kwenye himaya yenu kwa nguvu?munataka maziwa ya ng'ombe asiyelishwa?,na nyinyi safirini na kufanya mahojiano kama muna INFLUENCE.