Tetesi: CHADEMA, kwanini mkutano wa Tundu Lissu na Daniele Viotti unafanywa siri?


Ulituambia hapa kuwa Tundu Lissu aliaibika vilivyo alipohojiwa na Stephen Sackur wa BBC na pia asingeweza tena kufanya mahojiano na mtu yeyote mwingine huko nje, sasa haya yametokea wapi?
 
Kingereza naona kingi mixer kiswahili tu hapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha! Mh. Lissu anaangaisha vichwa vya Watawa sana yaani 24/7 wanafatilia lissu leo yuko wapi? Anafanya Nini?

Ni vizuri kama Lissu ilo kaligundua Pia kwaiyo vikao vingine vinakua Confidential.

Sio vizuri Watawa mjue kila anachofanya Kamanda wetu, mtetezi wetu.

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 

Mfikishie salamu za taarifa ya mswada wa vyama vya siasa umepitishwa kuwa sheria inayo subiri sahihi ya Rais.
 
Sasa hapa lengo lako ni lipi,?
Au shida yako ni huyo Daniel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kama siri na huyo shoga basi hatakuwa na siri.ukikaa na mwizi lazima uwe mwizi,ukikaa na mlevi basi utakuwa mlevi.ndio tatizo la usiri
 
Eti vibaraka, skuizi kiswahili kimekua kigumu kwa wanao nyemelea ukuu wa wilaya, mnajikomba kwa wauwaji na watekaji, utu unawatoka sababu ya ukuu wa wilaya, eti asiijibu huyu uwezo wenyewe wa kujibu atapata wapi anachijua yeye ni kamata weka ndani, mgambo anapewa wadhfa wa kuongoza, matokeo ni hv vituko!
 

Kibiti ugaidi bado upo? Tuanzie hapo, maana ninavyojua yeye anajibu kwa vitendo si maneno mingimingi. Wafuasi wake na tunaomuunga mkono tunamjua tangu naibu waziri wa ujenzi maneno machache ya kilomita za barabara baada ya hapo ni vitendo vingi.
 
Kibiti ugaidi bado upo? Tuanzie hapo, maana ninavyojua yeye anajibu kwa vitendo si maneno mingimingi. Wafuasi wake na tunaomuunga mkono tunamjua tangu naibu waziri wa ujenzi maneno machache ya kilomita za barabara baada ya hapo ni vitendo vingi.
I cannot flog a dead horse!
 
Kamanda jikite kwenye hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…