CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Kwi kwi kwi!!!!

Mkuu, hata mimi nafikiri wewe ni Mchaga, kama sio kweli basi samahani.

Unajua inatosha kuwa na kumbukumbu nzuri na kuunganisha mambo ili kujenga profile ya mtu hapa JF. Hata mtu akibadili jina wengine tunajua tu maana maandishi yanasaliti.

Pia kujua mtu anatoka wapi sioni ubaya wowote. Mimi kwetu Kyela, Mbeya kwi kwi kwi!!

kwi kwi kwi Mtanzani,

Naona muda si mrefu itabidi kila mtu aseme ametoka wapi hapa JF maana inaonekana wapinzani wengi hapa ni wachagga kama kawaida yao.
 
Wangwe anao wafuasi wengi sana hasa huko kwao Tarime kutokana na makosa ambayo CCM iliyafanya ya kupuuza matakwa ya wanachama wake, hence ushindi wa kishindo wa Wangwe kwenye ubunge. Pamoja na kuwa influential sasa hivi, bado sioni kama amefikia kiwango alichowahi kufikia Kabourou huko kwao Kigoma na kitaifa. Kabourou ameondoka CHADEMA na chama bado ni strong. Chama kilijiwekea misingi na taratibu na waasisi wake ambazo kwa mtu makini unatakiwa kuzielewa, na kama unajiunga na chama hakuna shaka kuwa unakuwa umekubaliana nazo. Kulingana na tamko la chama, hali imefikia mahali ambapo Wangwe amechokwa na wenzake na, at some point, he will have to go. Wangwe anaweza kuwa mpambanaji mzuri, lakini atakuwa anafanya kosa akisahau kuwa chama kimesaidia sana kumfikisha hapo alipo hivi sasa. Nani aliyemfahamu alipokuwa NCCR ? CHADEMA will prevail with or without Wangwe.
 
hawa Wapinzani Hawatuwezi, Sasa Ni Fimbo Tu, Tutawapinga Chadema Fimbo Hapa Jf, Na Kisha Tutawachanganya Kwenye Uongozi Na Mwisho Watu Watajua Kuwa Ccm Pekee Ndio Chama Kubwa.

.... Ha Ha Ha Haha .. Hawa Hawaijui Ccm....

Niliwaonya Hapa Hawakusikia.

Kama Huijui Kazi Ya Usalama Wa Taifa Sasa Umeijua, Tumeshawatoa Kwenye Debate Ya Epa, Meremeta, Na Story Zingine Zote Za Uzushi Na Tumewaweka Hapa Ambako Mtagongana Hadi 2010 Na Ccm Itashinda Kwa Kishindo.


Mnamuona huyu mtu? Sikusema ni phony huyu? Mnakumbuka haya:



...nimesoma Ile Habari Ya Michuzi Kuhusu Ziara Ya Kelly Rowland Uwanja Wa Fisi

Kwa Dakika 30 Zilizopita Nimekuwa Naona Hii Picha Huku Machozi Yakinitoka Pwacha Pwacha. Hali Hii Imenitisha Na Kuniogopesha Kuhusu Mwelekeo Wa Nchi Yetu. ..

...kwa Kuona Haya, Nitakuwa Najidanganya Kuendelea Kutetea Chama Changu Cha Ccm Hapa Mtandaoni Kama Haya Yanatokea Wakati Wachache Tu Kwenye Chama Wakinufaika Na Pesa Zote Za Tanzania. Sitaki Tena Kuwatetea Wana Ccm Hapa Mpaka Watakapoanza Kushughulikia Matatizo Ya Wananchi.

...nawaomba Msamaha Wana Jf Ambao Niliwasumbua Hapa Wakati Ambao Nyie Mnajaribu Kupigana Kwa Hali Na Mali Kuisaidia Tanzania Itoke Kwa Mafisadi...

Watu wakampokea mzima mzima kwa vifijo kama Pinda na Kikwete waliposhushwa kutoka angani. Wengine tukamkataa:

Sidhani kama clip ya dakika 20 ya Uwanja Wa Fisi, ambayo hata haitoshi kuanza kueleza matatizo ya Tanzania, ikawa ndio epiphany kwako.

...Kwa nini nisiseme ulikuwa Una feki mawazo yako, una Intellectual Dishonesty.

Muhimu zaidi ya huyu clown, katika context nzima ya Tanzanian politics, huwa hatu dissect rhetoric na ahadi za viongozi. Akisema "Bungeni hapatosha hela zisiporudi..." tunamvika joho, akisema "hii hoja yangu wapinzani wasiirudie..." tunamvua. Wakati mwingine inakuwa madhara yameshafanyika tayari.

Sasa siku ile Masaka alipojifanya kapata epiphany angegombea uongozi si tungempa?
 
Kamati Kuu Ya Chadema Inaundwa Na Wenyeviti Wa Mikoa Waliochaguliwa Mikoani Mwao.
Viongozi Sita Wa Kitaifa Yaani Mwenyekiti,makamu Bara Na Visiwani ,katibu Mkuu Na Manaibu Wake, Wajumbe 5 Waliochaguliwa Na Mkutano Mkuu, Wajumbe 5 Walioteuliwa Na M.kiti Na Kuidhinishwa Na Baraza Kuu, Kasome Katiba Acha Kupotosha.

Nimekujibu kuwa Ngaiza na Baregu walichaguliwa na Mbowe, unasema napotosha,sasa nani anapotosha ni mimi au wewe.

Kauli ya Mnyika kueleza mchakato wa Ngaiza na Baregu kupewa nyadhifa hizo na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=8326
 
Kama mpaka kieleweke ni MBOWE!basi ni ziro kabisa hapo maana alianza kwa kulisha sumu eti Chacha kamati iliyomtoa ndo iliyomchagua!

Ingawa ni makosa ya hii forum kutaja majina ya members hapa, lakini sidhani kama huyu MK ni Mbowe. Mbowe alikuwa anakuja hapa lakini akabanwa na wana JF akakimbia.
 

Mnamuona huyu mtu? Sikusema ni phony huyu? Mnakumbuka haya:



Watu wakampokea mzima mzima kwa vifijo kama Pinda na Kikwete waliposhushwa kutoka angani. Wengine tukamkataa:



Muhimu zaidi ya huyu clown, katika context nzima ya Tanzanian politics, huwa hatu dissect rhetoric na ahadi za viongozi. Akisema "Bungeni hapatosha hela zisiporudi..." tunamvika joho, akisema "hii hoja yangu wapinzani wasiirudie..." tunamvua. Wakati mwingine inakuwa madhara yameshafanyika tayari.

Sasa siku ile Masaka alipojifanya kapata epiphany angegombea uongozi si tungempa?

Hivi mwenzangu kuhani ni lini tena umetoka ccm na kusema kuwa tungempa kama vile wewe sasa umekuwa msemaji wa JF. Unasema tungempa kwani wewe ni nani kuamua nani aseme hapa.
 
THE CHACHA CV.KUTOKA KWENYE MTANDAO WA BUNGE.

University of Dar es Salaam Certificate (Edu.) 1978 1979 CERTIFICATE
Kinondoni Muslim Secondary O-level Education 1973 1974 SECONDARY
Nyaroha Secondary School O-level Education 1969 1970 SECONDARY
Magoto Primary School Primary Education 1966 1968 PRIMARY
Rosana Primary School Primary Education 1962 1965 PRIMARY

AJIRA.
Tarime Municipal Councilor (Tarime Town) 2001 2005
NCCR - Mageuzi Regional Secretary (Mara Region) 1998 2000
Africa Mashariki Gold Mines Field Supervisor 1994 1997
LACOP Interservices Co. Ltd Director 1983 1989
German Volunteer Service Language Tutor 1980 1982
National Bank of Commerce (NBC) Accounts Clerk 1977 1977

KIONGOZI WA MAHALI AMBAPO HAJASOMA.
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
CHADEMA Chairman (Mara Region) 2002 2005
NCCR-Mageuzi Secretary General (Mara Region) 1998 2000
CHADEMA Chairman (Tarime District) 1994 1998
TANU Youth Chairman (Mkwawa High School) 1975 1976

KUNA MASWALI YA KUJIULIZA HUYU ALIENDA JE MKWAWA WAKATI HAKUSOMA .

SOURCE WWW.PARLIAMENT.GO.TZ

Mbowe alikwenda na sifa zipi Hull University? mara mseme mzigo, mara hana elimu, mara mfuta bangi tushike lipi?
 
Gembe ,kusema kuwa mimi ni mchagga its very wrong.

Usifanye ,usiwaze na wala usiandike kitu kwa hisia ,kuwa eti nami ni mchagga huu ni upotoswaji wa wazi kwani kwanza wewe hata hunijui wala sura yangu huijui.

Acha kupotosha .

Jina lako linathibitisha kuwa ni mchagga, kauli zako ndio kabisa zinaonesha kuwa ni mangi kuna sehemu umewapakazia Ngaiza na Baregu na ukawaacha Mtei na Ndesamburo kwa vile ni wachagga ili kutudanganya kuwa hao ndio walimfukuza Chacha Wangwe.

MK jina lako linabeba kauli mbiu ya watu wa kilimanjaro 'Aisee babaangu si kubali Mpaka kieleweke baabangu'
 
Nimepata nafasi ya kuzungumza na Tundu Lissu kuhusu suala hili la Chacha. Mahojiano yatarushwa baadaye kesho.
 
fanya fair na kumhoji wangwe ili tuchekechue wenyewe mana hawa machelema hawaaminiki
 
Hivi mwenzangu kuhani ni lini tena umetoka ccm na kusema kuwa tungempa kama vile wewe sasa umekuwa msemaji wa JF. Unasema tungempa kwani wewe ni nani kuamua nani aseme hapa.

Umeongea toka pande mbili za mdomo wako.

Ulijifanya umepata epiphany kuona ki clip cha Uwanja wa Fisi. Nikasema no no no, tueleze vizuri. Ni nini kwenye clip ni kipya kwako pale, 'uchangudoa'?

Uchangudoa wa Uwanja wa Fisi ndio the worst malady you've ever seen in Tanzania?

Ukajifanya umetoa machozi. Wengi wakakuamini. Ina maana ungekuwa unagombea uongozi nadhani constituent ya JF ingekupitisha siku ile.

Kumbe ni a phony. Leo unasema:

Wapinzani hawaijui ccm, hili ni chama kubwa. Tutawavuruga hadi washangae

Baada ya kusema hivi wiki hata mbili hazizidi:



...Nimesoma ile habari ya michuzi kuhusu ziara ya Kelly Rowland uwanja wa fisi

Kwa dakika 30 zilizopita nimekuwa naona hii picha huku machozi yakinitoka pwacha pwacha. Hali hii imenitisha na kuniogopesha kuhusu mwelekeo wa nchi yetu. ..

...Kwa kuona haya, nitakuwa najidanganya kuendelea kutetea chama changu cha ccm hapa mtandaoni kama haya yanatokea wakati wachache tu kwenye chama wakinufaika na pesa zote za Tanzania. Sitaki tena kuwatetea wana ccm hapa mpaka watakapoanza kushughulikia matatizo ya wananchi.

...Nawaomba msamaha wana JF ambao niliwasumbua hapa wakati ambao nyie mnajaribu kupigana kwa hali na mali kuisaidia Tanzania itoke kwa mafisadi wachache ndani ya chama chetu.

Wakina Masaka hawana intellectual honesty. Wana fake mawazo yao. Yani, matatizo na shurba zote za Bongo wanazijua, lakini wanatetea tabaka tawala kishabiki shabiki. Halafu mara moja moja mioyo yao inawasuta, wanajiona wajinga, ndio wanakuja na vi clip vya Uwanja wa Fisi eti vimewapa epiphany.

Halafu baada ya wiki tu wanasahau waliomba misamaha kwa mawazo yao ambayo wao wenyewe hawayaamini. Wanaanza kurudi na ideology zile zile. Ni watu phony halafu hawana memory. Hawako serious, ni irrelevant hawa.
 
Umeongea toka pande mbili za mdomo wako.

Ulijifanya umepata epiphany kuona ki clip cha Uwanja wa Fisi. Nikasema no no no, tueleze vizuri. Ni nini kwenye clip ni kipya kwako pale, 'uchangudoa'?

Uchangudoa wa Uwanja wa Fisi ndio the worst malady you've ever seen in Tanzania?

Ukajifanya umetoa machozi. Wengi wakakuamini. Ina maana ungekuwa unagombea uongozi nadhani constituent ya JF ingekupitisha siku ile.

Kumbe ni a phony:





Wakina Masaka hawana intellectual honesty. Wana fake mawazo yao. Yani, matatizo na shurba zote za Bongo wanazijua, lakini wanatetea tabaka tawaka kishabiki shabiki. Halafu mara moja moja mioyo yao inawasuta, wanajiona wajinga, ndio wanakuja na vi clip vya Uwanja wa Fisi eti vimewapa epiphany.

Halafu baada ya wiki tu wanasahau waliomba misamaha kwa mawazo yao ambayo wao wenyewe hawayaamini. Wanaanza kurudi na ideology zile zile. Ni watu phony halafu hawana memory. Hawako serious, ni irrelevant hawa.

Katika hii thread nilisema kuwa nitaendelea kuwa Mwanaccm na bado sijabadili mawazo haya. Afadhali mimi ninayesema kwa wazi kuwa ni mwanaccm kuliko wewe ambaye umebadili mawazo yako karibuni na kujifanya mpinzani kumbe ni mwanaccm damu damu.

Wewe ndiye una unafiki na sasa nitakuumbua
 
Back
Top Bottom