CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?


kwi kwi kwi Mtanzani,

Naona muda si mrefu itabidi kila mtu aseme ametoka wapi hapa JF maana inaonekana wapinzani wengi hapa ni wachagga kama kawaida yao.
 
Wangwe anao wafuasi wengi sana hasa huko kwao Tarime kutokana na makosa ambayo CCM iliyafanya ya kupuuza matakwa ya wanachama wake, hence ushindi wa kishindo wa Wangwe kwenye ubunge. Pamoja na kuwa influential sasa hivi, bado sioni kama amefikia kiwango alichowahi kufikia Kabourou huko kwao Kigoma na kitaifa. Kabourou ameondoka CHADEMA na chama bado ni strong. Chama kilijiwekea misingi na taratibu na waasisi wake ambazo kwa mtu makini unatakiwa kuzielewa, na kama unajiunga na chama hakuna shaka kuwa unakuwa umekubaliana nazo. Kulingana na tamko la chama, hali imefikia mahali ambapo Wangwe amechokwa na wenzake na, at some point, he will have to go. Wangwe anaweza kuwa mpambanaji mzuri, lakini atakuwa anafanya kosa akisahau kuwa chama kimesaidia sana kumfikisha hapo alipo hivi sasa. Nani aliyemfahamu alipokuwa NCCR ? CHADEMA will prevail with or without Wangwe.
 


Mnamuona huyu mtu? Sikusema ni phony huyu? Mnakumbuka haya:


Watu wakampokea mzima mzima kwa vifijo kama Pinda na Kikwete waliposhushwa kutoka angani. Wengine tukamkataa:

Sidhani kama clip ya dakika 20 ya Uwanja Wa Fisi, ambayo hata haitoshi kuanza kueleza matatizo ya Tanzania, ikawa ndio epiphany kwako.

...Kwa nini nisiseme ulikuwa Una feki mawazo yako, una Intellectual Dishonesty.

Muhimu zaidi ya huyu clown, katika context nzima ya Tanzanian politics, huwa hatu dissect rhetoric na ahadi za viongozi. Akisema "Bungeni hapatosha hela zisiporudi..." tunamvika joho, akisema "hii hoja yangu wapinzani wasiirudie..." tunamvua. Wakati mwingine inakuwa madhara yameshafanyika tayari.

Sasa siku ile Masaka alipojifanya kapata epiphany angegombea uongozi si tungempa?
 

Nimekujibu kuwa Ngaiza na Baregu walichaguliwa na Mbowe, unasema napotosha,sasa nani anapotosha ni mimi au wewe.

Kauli ya Mnyika kueleza mchakato wa Ngaiza na Baregu kupewa nyadhifa hizo na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=8326
 
Kama mpaka kieleweke ni MBOWE!basi ni ziro kabisa hapo maana alianza kwa kulisha sumu eti Chacha kamati iliyomtoa ndo iliyomchagua!

Ingawa ni makosa ya hii forum kutaja majina ya members hapa, lakini sidhani kama huyu MK ni Mbowe. Mbowe alikuwa anakuja hapa lakini akabanwa na wana JF akakimbia.
 

Hivi mwenzangu kuhani ni lini tena umetoka ccm na kusema kuwa tungempa kama vile wewe sasa umekuwa msemaji wa JF. Unasema tungempa kwani wewe ni nani kuamua nani aseme hapa.
 

Mbowe alikwenda na sifa zipi Hull University? mara mseme mzigo, mara hana elimu, mara mfuta bangi tushike lipi?
 
Gembe ,kusema kuwa mimi ni mchagga its very wrong.

Usifanye ,usiwaze na wala usiandike kitu kwa hisia ,kuwa eti nami ni mchagga huu ni upotoswaji wa wazi kwani kwanza wewe hata hunijui wala sura yangu huijui.

Acha kupotosha .

Jina lako linathibitisha kuwa ni mchagga, kauli zako ndio kabisa zinaonesha kuwa ni mangi kuna sehemu umewapakazia Ngaiza na Baregu na ukawaacha Mtei na Ndesamburo kwa vile ni wachagga ili kutudanganya kuwa hao ndio walimfukuza Chacha Wangwe.

MK jina lako linabeba kauli mbiu ya watu wa kilimanjaro 'Aisee babaangu si kubali Mpaka kieleweke baabangu'
 
Nimepata nafasi ya kuzungumza na Tundu Lissu kuhusu suala hili la Chacha. Mahojiano yatarushwa baadaye kesho.
 
fanya fair na kumhoji wangwe ili tuchekechue wenyewe mana hawa machelema hawaaminiki
 
Hivi mwenzangu kuhani ni lini tena umetoka ccm na kusema kuwa tungempa kama vile wewe sasa umekuwa msemaji wa JF. Unasema tungempa kwani wewe ni nani kuamua nani aseme hapa.

Umeongea toka pande mbili za mdomo wako.

Ulijifanya umepata epiphany kuona ki clip cha Uwanja wa Fisi. Nikasema no no no, tueleze vizuri. Ni nini kwenye clip ni kipya kwako pale, 'uchangudoa'?

Uchangudoa wa Uwanja wa Fisi ndio the worst malady you've ever seen in Tanzania?

Ukajifanya umetoa machozi. Wengi wakakuamini. Ina maana ungekuwa unagombea uongozi nadhani constituent ya JF ingekupitisha siku ile.

Kumbe ni a phony. Leo unasema:

Wapinzani hawaijui ccm, hili ni chama kubwa. Tutawavuruga hadi washangae

Baada ya kusema hivi wiki hata mbili hazizidi:


Wakina Masaka hawana intellectual honesty. Wana fake mawazo yao. Yani, matatizo na shurba zote za Bongo wanazijua, lakini wanatetea tabaka tawala kishabiki shabiki. Halafu mara moja moja mioyo yao inawasuta, wanajiona wajinga, ndio wanakuja na vi clip vya Uwanja wa Fisi eti vimewapa epiphany.

Halafu baada ya wiki tu wanasahau waliomba misamaha kwa mawazo yao ambayo wao wenyewe hawayaamini. Wanaanza kurudi na ideology zile zile. Ni watu phony halafu hawana memory. Hawako serious, ni irrelevant hawa.
 

Katika hii thread nilisema kuwa nitaendelea kuwa Mwanaccm na bado sijabadili mawazo haya. Afadhali mimi ninayesema kwa wazi kuwa ni mwanaccm kuliko wewe ambaye umebadili mawazo yako karibuni na kujifanya mpinzani kumbe ni mwanaccm damu damu.

Wewe ndiye una unafiki na sasa nitakuumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…