CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

hili swala lako lilijibiwa kwa ufasaha wakati wa mdahalo(katafute clip).acha kukurupuka ndugu au ndio tuseme una "regressed milestones"katiba haimkatazi mtz mwenye elimu ya std 7 kugombea!
THINK THRICE BEFORE YOU POST .

Kwa wakati tulio nao sio wa kuwa na Makamu wa Rais wa darasa la Saba bana, nia ya Slaa ilikuwa ni kumtafuta mbumbumbu ili aweze kumwendesha atakavyo na afanye mambo atakavyo yeye, huu ndio nasema ni ubinafsi
 
Sitoongeza neno lolote hapo ili ladha isiharibike!
 
Huyo Mgmbea mwenza hakuweza kufika elimu ya juu kutokana na udhalimu na utawala mbovu wa ccm. hivyo ingekuwa cdm ndio ilichukua nji hii tokea uhuru huyo mwenye hiyo elimu asingekuwepo..

Ni yeye mwenyewe tu ndio alikuwa kilaza wala usisingizie Utawala wa nchi, na tena wakati wao ndio walikuwa wanasoma vizuri kuzidi wakati mwingine wowote. Mbona hao wakina Slaa wamesoma wakati huo huo?. Huyu Slaa ni mbinafsi sana na si mkweli wa kauli na vitendo
 
Kwa wakati tulio nao sio wa kuwa na Makamu wa Rais wa darasa la Saba bana, nia ya Slaa ilikuwa ni kumtafuta mbumbumbu ili aweze kumwendesha atakavyo na afanye mambo atakavyo yeye, huu ndio nasema ni ubinafsi
Sidhani... umbumbu wa elimu si umbumbu wa utashi. Kila mwanadamu ana akili kuliko vile tudhanivyo, elimu kubwa si kigezo cha kuwa na fikra kubwa, Nakhofu sana kutoa mifano kutokana na hili kwa maana mifano yenyewe inaweza kukwaza watu... Wako watu wana elimu iliyopevuka, lakini ni 'wajinga' katika mambo mengi kuliko wale wasio na elimu! sasa hapo huwa najiuliza ina maana bila elimu wangelikuwaje??? kwa maana tunasoma ili tuelimike na kukuza maarifa tuliyozaliwa nayo. lakini wale wako kinyume na hayo inakuwaje?
Hivyo basi yawezekana kabisa huyo unaemdharau angelifanya mambo makubwa kuliko unavyotarajia, sidhani kama ni Dr. Slaa mwenyewe ndiye aliemchagua mgombea Mwenza... hebu tuweni wakweli ijapo kidogo tu
 
Ndugu yangu TUNAKAZI ya kuelimisha vilaza wa nchi hiii kazi ipo!
ccm imewafanya watu wasifikilie sana kwa sera zao MBOVU!
 

Kweli wewe kufikiria kwako kuna kikomo. Viongozi hao wa karne ya 18 ndio wataka kulinganisha na wa karne hii ya 21 ? uongozi kama wa kina Mkwawa na wengineo sio wa muda huu. Haiwezekani mtu wa darasa la saba aje awe makamu wa Rais wa nchi. Hapa Slaa alitafuta mtu wa kumburuza ili aweze kufanya mambo yake atakavyo endapo angekuwa Rais. Bora Mungu alituepushia mtu huyu !!!
 
Kwa wakati tulio nao sio wa kuwa na Makamu wa Rais wa darasa la Saba bana, nia ya Slaa ilikuwa ni kumtafuta mbumbumbu ili aweze kumwendesha atakavyo na afanye mambo atakavyo yeye, huu ndio nasema ni ubinafsi
duuuu kwani hao ambayo si mambumbu wamefanya nini? kama nielimu mlimchagua mtu mwenye PASS ili mumuendeshe mtakavyo?? kama mnavyomfanya huyu! KAZI IPO BASI.
 
na wewe akili yako inarudi nyuma watu wako kwenye mijadala yenye afya kwa taifa bado unaturudisha kwenye kampeni ambazo zimeisha na Kuibua maswali kibao sifa za kugombea nafasi yoyote ya uongozi ni kuja kusoma na kuandika period

Twataka kuweka bayana kuwa dhamira ya Slaa ilikuwa ni mbaya kwa nchi hii, bora Mungu ametuepusha na balaa hili
 
na nyinyi makamba je! ulitaka CHADEMA wafoji vyeti kama mnavyofanya ccm!??
 
duuuu kwani hao ambayo si mambumbu wamefanya nini? kama nielimu mlimchagua mtu mwenye PASS ili mumuendeshe mtakavyo?? kama mnavyomfanya huyu! KAZI IPO BASI.

Viongozi wote wa kitaifa sidhani kama kuna mtu ana elimu ya darasa la saba. Mie sisemei nafasi za ubunge, nasemea Rais, M/Rais na Waziri Mkuu. Huyu wa Slaa hapana aisee, mlikuwa na lenu jambo na bahati nzuri watanzania waliwagundua mapema wakamwaga aisee:whoo::whoo::whoo::whoo:
 
kama ni elimu raisi wako si ana PASS na ndo maana uwezo wake mdogo!
 
Ndugu yangu TUNAKAZI ya kuelimisha vilaza wa nchi hiii kazi ipo!
ccm imewafanya watu wasifikilie sana kwa sera zao MBOVU!

Tatizo letu watanzania tunapenda mambo mteremko tu, na serikali ifanye kila kitu. Vitu vingine ni vya kwako binafsi fanya kazi kwa bidii na maarifa uweze kuvitafutia ufumbuzi. Nilishangaa watu walipo ambiwa watapewa bure kila kitu wakaruka na kushangilia, duh kweli mlidanganywa ndugu zanguni
 
wewe hujui kazi ya serekali inakusanya kodi ya nini?? kama hata mazao nashindwa kusafilisha toka shamabi?? kwanini niendelee kuwashangilia ccm anayekusanya kodi yangu kwa yeye kusafili out!?
 
Serikali yeyote yenye watu walioendelea inasapotiwa na SERIKALI zao mkuu, sasa wanataka madaraka ya kazi gani!?
 
kama ni elimu raisi wako si ana PASS na ndo maana uwezo wake mdogo!

Ha ha haaaa, kwa kukusaidia tafuta wasifu wake uliosomwa wakati anapewa udaktari pale UDOM , ndipo utajua jamaa ni wa aina gani. JK na Slaa kwenye uongozi wa nchi huwezi kuwalinganisha kabisa, Slaa ni kiongozi wa dini zaidi mambo ya siasa hana uzoefu nayo.
 

Borgus,kama huna cha kuandika kaa kimya.hapa siyo mahala pake.
 
si ndo maana usaniii mwingi Slaa mtu wamatendo! udaktari siku hizi unapewa wampe na uproff kabisa!
 
wewe hujui kazi ya serekali inakusanya kodi ya nini?? kama hata mazao nashindwa kusafilisha toka shamabi?? kwanini niendelee kuwashangilia ccm anayekusanya kodi yangu kwa yeye kusafili out!?

Sasa wewe hutaki asafiri ????? yeye ni kiongozi wa nchi, na hata viongozi wa nchi zingine wanaenda kwenye vikao mbali mbali. Kwani hivyo vikao Rais huwa ni peke yake? , na safari zake ni za tija mwache asafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…