CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

Utoto wa akili inaonekana una raha sana, maana wala hata haihitaji kufikiria. Unaongea tu au unajifanyia basi.
 
Chadema watafanikiwa lake zone Ila waache kila wkt kumchafua shujaa magufuli, Ila kama Qatar delea kumtukana JPM utashangaa atakuwa popular lake zone yote
 
Magufuli mwenyewe ilisemakana amewamaliza cdm, lakini ilipokuja kipimo halisi Cha kukubalika kwake ambayo ni uchaguzi aikiishia kupora mchakato wa uchaguzi!
 
Magufuli mwenyewe ilisemakana amewamaliza cdm, lakini ilipokuja kipimo halisi Cha kukubalika kwake ambayo ni uchaguzi aikiishia kupora mchakato wa uchaguzi!
Kwanini CHADEMA huwa inaporwa ushindi kila mara? 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020, na itaporwa tena 2030, 2035
 
Dotto Biteko angetufaa sana huku CHADEMA.
 
ukiondoa lisu na mbowe hakuna chademaTz.

wasipikuepo on scene au wasiopongea in public there is no chadema.

mfano sasa ivi si Lisu kapeleka report ng'ambo kwa mabeberu, hutaskia chochote had arudi.
 
Unadhani hatujui tofauti ya uchaguzi wa 2020 na nyingine za huko nyuma?
Za nyuma zilisaidia nini ? Kwani malengo ya CHADEMA kwenye chaguzi ni yapi? 2025 ?
 
ukiondoa lisu na mbowe hakuna chademaTz.

wasipikuepo on scene au wasiopongea in public there is no chadema.

mfano sasa ivi si Lisu kapeleka report ng'ambo kwa mabeberu, hutaskia chochote had arudi.
Mbona mnaiba uchaguzi hata sehemu ambayo Lisu na Mbowe hawapo? Huko ccm hadi leo kiongozi anayeonekana wa maana ni Nyerere, mengine yote ni majizi.
 
Mkuu kwa haya yanayoendelea nchini wahanga sio CHADEMA. Ni wewe na baba yako na watoto wako na wajukuu kama unao. Kama unafikiri CHADEMA kukosa umaarufu na kupot0ea kwenye siasa ni ufahari kwako hapo unakosea. CHADEMA haiwajibiki kuibadilisha nchi. Wewe na mimi ndiwo. Tusipopiga kelele sisi na kuibadilisha nchi basi tutaendelea kuishi maisha ya ufukara kwa karne zote zijazo.
 
Kwani ya Umeme ameyamaliza?

Mgao wa umeme unaivua nguo serikali
 
Mbona mnaiba uchaguzi hata sehemu ambayo Lisu na Mbowe hawapo? Huko ccm hadi leo kiongozi anayeonekana wa maana ni Nyerere, mengine yote ni majizi.
ngoja tumsubiri kibaraka atuambie mabeberu safari hii yamemwambia atumie staili gani maana ile ya kulala barabarani haijamake, halafu ndio tutoe maelezo ya kina kuhusu malalamiko yako ya muda mrefu
 
Usatile Nyanda

Huku Home Simiyu wote ni Nyekundu blue black people's!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…