- Thread starter
- #121
Tunaiongelea CHADEMA kwa sababu walau ndio Chama kinachoonyesha mwelekeo. Sasa kukiboresha lazima kipigwe mawe na ngumi ili kitoke kilipo. Miaka 33 sasa lkn hakioneshi mwelekeo.Why chadema na sio ACT,CUF and the like
Chadema kwa sasa inaelekea kuwa kama CUF. Kmepoteza UTAASISI uliokuwepo wakati wa akina Mzee Bomani, Dr. Slaa, Prof. Mwesiga, Prof . Safari etc. Ni kama kimebaki na wahuni vijana wasiojua wanajenga nini?
1. Wanalalamika lalamika bila hoja madhubuti.
2. Wamekuwa watu wa matukio. Hivyo kupoteza long time goals
3. Wamepoteza credibility ya kupambana na ufisidi kwa tamaa ya kuwaleta El na Sumae,
Pokeeni kwa jicho chanya haya mawe