CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

Asalam,
Siasa ni kazi inayohitaji ustadi mkubwa na tafiti nyingi ikiwemo kuzijua hisia za wananchi. Hizi kanuni muhimu sana

1. Kwenye Siasa nenda na agenda za wananchi (Nyerere J.K)
2. Kwenye Ongea lugha ya wananchi, usiongee lugha wanayoelewa, ongea lugha yao.

Kwa kanda ya ziwa CHADEMA wamefeli pakubwa. Kanda ya Ziwa kwa sehemu kubwa imerudi CCM kihamasa baada ya uteuzi huu wa juzi.

Makosa makubwa matatu ya CHADEMA wanayoendelea kuyafanya
1. Chama kimekaa, wakaamua kwenye vikao vyao kuwa waende wakahubiri Katiba mpya. Je ni suala la watanzani 60?
2. Kukosa consistency na political brain. TL anaenda Usukumani kumtukana Mtoto Pendwa Magufuli nyumbani kwao. Anatarajia nini ?
Hoja ya Bandari imeshindwa kujengwa vyema na political parties.

3. Chadema haina kundi die hard. Inataka kuwa kama CCM.

CHADEMA MSIPOBADILIKA MMEKWISHA
Hamna kitu ,why mnamdangaya uyu mama why,si mwambieni ukweli
Zipo ngoma nzito
1 kugawa bandari zote tz
2 wamasai Ngorongoro na kugawa misitu ya watu
3 ,katiba mpya ,bado angalau ingeweza msafisha
Bado vipo vi mkataba 36 hatujajua kunani thanks
 
Asalam,
Siasa ni kazi inayohitaji ustadi mkubwa na tafiti nyingi ikiwemo kuzijua hisia za wananchi. Hizi kanuni muhimu sana

1. Kwenye Siasa nenda na agenda za wananchi (Nyerere J.K)
2. Kwenye Ongea lugha ya wananchi, usiongee lugha wanayoelewa, ongea lugha yao.

Kwa kanda ya ziwa CHADEMA wamefeli pakubwa. Kanda ya Ziwa kwa sehemu kubwa imerudi CCM kihamasa baada ya uteuzi huu wa juzi.

Makosa makubwa matatu ya CHADEMA wanayoendelea kuyafanya
1. Chama kimekaa, wakaamua kwenye vikao vyao kuwa waende wakahubiri Katiba mpya. Je ni suala la watanzani 60?
2. Kukosa consistency na political brain. TL anaenda Usukumani kumtukana Mtoto Pendwa Magufuli nyumbani kwao. Anatarajia nini ?
Hoja ya Bandari imeshindwa kujengwa vyema na political parties.

3. Chadema haina kundi die hard. Inataka kuwa kama CCM.

CHADEMA MSIPOBADILIKA MMEKWISHA
Umetema madini matupu!

Kusema kweli nami nilishangazwa sana kwa kitendo cha Lisu kwenda kumnanga Magufuli Usukumani!

Kitendo hicho kimeishushia Chadema credit pakubwa!

Nikawa najiuliza huu uroporopo anadhani anawafurahisha wafiwa!

Kumtukana Magufuli kanda ya ziwa ni sawa na kumtukana mtume!

Hili la Dotto Biteko litainyenyua Ccm ilipokwama iwapo tu atawaondolea kero wananchi kwa matendo ya uongozi wake.

Kama utendaji wake utakuwa ni wa kupiga siasa za kipole na kistaarabu kama vile anahubiri enjili kwa kuwaonea haya mafisadi waliolikwamisha Taifa, ndiyo atazidi kuichimbia kaburi Ccm.

Kosa jingine kubwa wanalolifanya Chadema ni kuendeleza ideology yao ya kususia vikao, kwa mfano wa hiki cha wadau wa siasa, hawakuwa na mantiki ya kufanya hivyo.

Ilitakiwa wakapambanue hoja zao pale, ingelipendeza sana .

Halafu la mwisho kwa Chadema, waondoe udikteta na ukiritimba wao katika uongozi wa chama kitaifa.

Kama wana nia ya kweli ya mabadiliko, ziwekwe sura mpya safu ya juu zitakazokubalika kwa wananchi kuuonesha umma thamani halisi ya demokrasia.

Wakiendelea kuongoza wao tu miaka na miaka kimakame nguvu, kwa kadri siku zinavyokwenda, kitashuka popularity na kubakia chama cha kugawania ruzuku kama vyama vingine vya upinzani vilivyo hivi sasa.
 
Unawashwa.
 
CHADEMA wanakimbia mijadala rasmi, tena ya watu wa level zao. Wao wangepambana kupata kupata nafasi ya presentations hata mbili kwenye kongamano.

Wanakimbia kwa sababu kubwa mbili.
1. Wabinafsi
2. Hawajui wanachotetea
Ilipaswa CHADEMA ione haya makongamano ni aina nyingine ya Jukwaa
 
Back
Top Bottom