CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

Kwa taarifa yako huyu unayemuita Dotto Biteko hajulikani kabisa huku labda pale kwenu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mmeishiwa mmebaki kuita watu majina. Kibaraka ni yule anayeuza bandari na kukodisha Ngorongoro kwa kuwafukuza raia wake.
kinyooooongeeee sana 🤣. relax bana.
the puppet anarud soon, report amesabmit Jana tayari
 
Kanda ya ziwa n wakabila sana ...lkn bwana dotto sio ngosha sema wajnga wanajua n ngosha..... anyway time wl tel
Ni kwa msukuma yupi uliigia kwake akashindwa kukupa chakula, kisa wewe ni mmachame?
 
ngoja tumsubiri kibaraka atuambie mabeberu safari hii yamemwambia atumie staili gani maana ile ya kulala barabarani haijamake, halafu ndio tutoe maelezo ya kina kuhusu malalamiko yako ya muda mrefu
Irrelevant.
 
Hakuna kitu na Lissu na Mbowe wamepikekelewa na kyshangiliwa sana Chato na kanda yote ya ziwa. Chadema inatisha sana kwa CCM.
 
Kwenye pointi yako namba mbili nakubaliana na wewe mia kwa mia.
Kumnanga Dr John Pombe Magufuli ni kosa kubwa sana chama ilifanya hata mimi niliwahi kuwashauri humu.
 
Wakati unakuja mtapoteana!! Na hapo ndo mtaujua ukweli mkiwa mmeshaumia
 

Akili za kuvuka barabara hizi
 
Eti kila kiongozi huku usukumani akitokea chadema (wa machame) huwa wanaanza kusema eti mhutu, ni roho mbaya sana chuki
 
Magufulists chadema haitupi tabu ila wanaotupa mashaka ni wahuni waliyoteka ccm na kuzima mwendo wa kimapinduzi wa chama. Samia kumeweka pale biteko hatujaelewa nia yake. Biteko ni mtu mwendo wa kimagufuli. Mwenyewe samia hatumuhitaji tunamuona hatari.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unateseka buree…
 
Why chadema na sio ACT,CUF and the like
 
Da!

Wewe ni 'busar'!

Haya ni mawazo ya ajabu sana uliyoweka hapa.
Ninakubaliana nawe kwenye namba 1 na namba 2, (za mwanzo), kabla hujaanza kuharisha chini yake.; unakokuita wewe "Makosa makubwa matatu...).

Mtu na akili timamu utaanzia wapi kuufanya uteuzi wa mtu mmoja, tena mtu asiyekuwa naushawishi wowote katika jamii kuwa ndio utawafanya watu wasahau uchafu wote unaoendelea ndani ya chama cha CCM?

Hili pekee linakuondolea sifa hata ya kuanzisha mada iliyo juu ya uwezo wako kama hii.
 
Kwa taarifa yako huyu unayemuita Dotto Biteko hajulikani kabisa huku labda pale kwenu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Umesema kweli kabisa
Kuna ukoo Jiwe aliufuta futa wasomi Waziri wa kisukuma maenginia namkubuka moja alikuwa Mkurugenzi Jiji Mwanza akawa Mbunge ule ukoo Jiwe aliupotezea wapi?

Hata Joka la Makengeza Jiwe aliminya!!
 
Chawa akiwa kazini
 
Siasa za kikanda na Kingpin zinawezekana Kenya tu wacha ujinga. Kenya ndio kuna watu ni Kingpin na asemaji wa Kabila fulani, Mfano Kalonzo Musyoka ni Kingpin wa Wakamba wote
Tayari tumeshaingia huko, mkuu tuliza mshono, acha mama arekebishe nchi, tulisharudi nyuma karibu muongo mmoja, hapo nakubaliana na Jenerali Ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…