CHADEMA Lake Zone imepotezwa na Uteuzi wa Dkt. Doto Biteko

Why chadema na sio ACT,CUF and the like
Tunaiongelea CHADEMA kwa sababu walau ndio Chama kinachoonyesha mwelekeo. Sasa kukiboresha lazima kipigwe mawe na ngumi ili kitoke kilipo. Miaka 33 sasa lkn hakioneshi mwelekeo.
Chadema kwa sasa inaelekea kuwa kama CUF. Kmepoteza UTAASISI uliokuwepo wakati wa akina Mzee Bomani, Dr. Slaa, Prof. Mwesiga, Prof . Safari etc. Ni kama kimebaki na wahuni vijana wasiojua wanajenga nini?
1. Wanalalamika lalamika bila hoja madhubuti.
2. Wamekuwa watu wa matukio. Hivyo kupoteza long time goals
3. Wamepoteza credibility ya kupambana na ufisidi kwa tamaa ya kuwaleta El na Sumae,
Pokeeni kwa jicho chanya haya mawe
 
Wasomi na wazalendo hawatulii kbs huko CDM wanabaguliwa mtu akiwa wa kanda ya xiwa Tu anaanza kuitwa mhutu eti,wkt huo huo hawajawahi kuona kosa hata moja la mwamba WA machame
 
Wewe mtoa post ndio umekwisha
 
Ni sehemu gani ya wachimbaji wadogo wa Dhabi ditto Hana mashimo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…